Mpaka sasa hiyo ndio nauli ya ndege...ni ghali sana...Kama unaenda Dubai vile. Ila kwa kuwa unaenda kutafuta business connections, basi si vibaya ukafumba macho na kwenda kuangalia fursa hizo.
Tangu nimemaliza Milambo miaka zaidi ya 20 iliyopita sijabahatika kuitembelea tena shule yangu. Ila iko damuni. Ndiyo iliyonitengeneza nikawa hivi nilivyo leo. Shule ya WANAUME...!!!
Barabara, mifumo ya maji safi, maji taka na drainage systems, parking spaces, street lights, pedestrian walkways, umeme wa uhakika, mipango Mimi ndio matatizo ya msingi. Maghorofa ya CBD watu wanayakimbia, ndio maana maeneo Kama Victoria, Masaki na Mwenge yana mvuto zaidi kibiashara kwa real...
The bold umetisha sana. Sikuwa hata najua kwamba Pablo Escobar alishakufa. Nilikuwa nafahamu juu juu tu kuhusu huyu mtu. Je story ya Carlos THE JACKAL unayo?
. Achana naye! Yaani hawa ndio wanasababisha mpaka sheria zinatungwa kali kupita maelezo. Mtu aandika utumbo wa kushtusha kiasi hiki. Hao anaowataja sasa hivi wako Ikulu wanakula bata.
Huu sasa ndio uchochezi. Acha tu huo muswada wa habari upitishwe ili kukomesha watu wa aina yako. Maana kichwa chako cha habari na maelezo yako ndani ni tofauti kabisa. Mtanyooka tu! It is just a matter of time!
CHADEMA waliopinga wakubwa wametumbuliwa, sembuse CCM? Angempinga Rais wake?. Unaongea kama hujui nchi hii anayeshika kwenye mpini ndiye mwenye maamuzi ya mwisho!
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Subirini listi ya wanasiasa waliokopa mpaka benko ya Twiga Bancorp ikafilisika. Ndipo mtajua maharage sio mboga, bali ni kiungo cha makande!
Bora wewe umeemelewa alichosema. Maana watu wana tabia ya kupotosha. Kasema kwenye kampeni zake, hakuwahi kabisa kuzungumzia katiba mpya. Aacha anyooshe nchi kwanza, kisha hayo menginey yatafutaata baadaye.
Una umri gani kaka? Na unapozungumzia mke, una maanisha mke wa ndoa au mwanamke tu mnaishi nyumba moja ili kupunguza makali ya maisha hasa kodi ya nyumba? Maana sikuelewi ujue! oooops! Ngoja nisubiri jibu kuhusu umri!
Wanasema binadamu wenye akili nyingi walikuwa wadadisi. Wakatoka hapo Oldupai Gorge na kuanza kuelekea sehemu mbali mbali Duniani, hasa Mashariki ya Kati na Ulaya. Wale ambao hawakuwa wadadisi wakabaki (INASEMEKANA LAKINI)............Ndipo baada ya miaka milioni na ushee wakabadilika na kuwa na...
Kwanza sekta binafsi kinachoangaliwa ni ufanisi katika kazi, na sio vyeti. Unaweza kuwa na Masters lakini bosi wako akawa na Bachelors Degree tu. Mfumo wa sekta binafsi ni rafiki zaidi, hauangalii sana vyeti bali umahiri na ufaninisi katika utendaji kazini!
Tunawashauri serikali nao waige...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.