Ndipo ukweli aliousema Mh LISU kuwa uteuzi wa viongozi wa mahakama umejaa ubabaishaji sana.MAHAKAMA hazina ukweli na uwazi.VIVA Tanzania,VIVA T 2015 CDM
Nyambafu wewe Mwanaharakatihuru,umetumwa nini?Nwy asante kwa kujiweka wazi jinsi ulivyo punguani wa mawazo.Kama unajielewa upo ktk Tanzania ipi basi katafute habari nyingine ya kutuhabarisha.
Usifanye hili jukwaa kama hayo magroup ya FB(Mzumbe).
Le mutuz,hakuna anayethubutu kupokea endapo anapewa.Maana njaa ni kali hapa Bongo.Ila ni bora usitoe maana watakupa wakitegemea utawarudishia fadhila pindi ukipata.
ITAFAHAMIKA TU.....Kesi hizi anayezichochea ni CCM(Serikali) na zinasababisha matumuzi yasiyo ya lazima ya kodi zetu.CHADEMA ni nguvu ya umma,basi na hodi Jimbo wanalichukua tena..
Mapinduzi sio karamu ya jioni.....Tutaishi mpaka lini kwa kufuata mkumbo?Hapa ni Tanzania na sisi ni watanzania,madaktari kama walivyo na wanasiasa kama walivyo,wote ni watanzania.Iweje sasa hawa wanasiasa wajione wao ni bora kuliko wenzao(madaktari)?Kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia upotevu wa...
Kaka umekurupuka kuleta hii hoja yako hapa.Bila kuwa na sirikali kwenye Uongozi wowote ule daima kutakuwa na misuguano.Naomba tu nikushauri ufuatilie japo kwa kuadithiwa tu ni kwa jinsi gani Umoja wa Sovieti ulisambaratika na kwa nini Siasa za Urusi kwa sasa zimetawaliwa na Putin tu......T 2015...
There are a lot to learn in it.Foristance JK's leadership is in vain simply because there are a lot of indisciplined cabinents members.He himself z indisciplined President ever.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.