Search results

  1. shikamkono01

    Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

    Sehemu ya 1. Naitwa Rojaz na nimezaliwa kwa wazazi ambao baba na mama matamanio yao ni kuona watoto wao tunasoma kwa bidii ili kuweza kufikia malengo yetu na ndoto ambazo wao kama wazazi wanaziota juu yetu,natumaini ni ndoto ya kila mzazi kwa mtoto wake,hakuna mzazi anayesomesha mtoto na...
  2. shikamkono01

    Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    NILIVYOMKOMESHA TAPELI WA VIWANJA KIVULE Habari zenu wadau wa JF! Leo nami nimeonelea niwasimulie kisa changu jinsi nilivyomkomesha tapeli maarufu wa viwanja maeneo ya Kivule ajulikanaye kama Juma Kasangu,mnamo mwaka 2014 mwanzoni nikiwa katika harakati zangu za kutaka kujipatia eneo...
  3. shikamkono01

    Kilichomkuta dereva wa first choice (apollo)

    Siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari Moro kuelekea Dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea Dar tulipofika Dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo na kwa...
Back
Top Bottom