Search results

  1. mujunwa

    December Kipindi Cha Magufuli Mshahara tar 19

    Si umfuate huko aliko akupe mshahara wako...!!
  2. mujunwa

    Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

    Uko sahihi mkuu . Mi Simba lakini Yanga wako serious kuwekeza kwenye pitch . Imagine unaleta wachezaji wa kigeni wa kuja kukaa benchi . Halafu wamekuwa na propaganda utafikiri wanasiasa . Wahuni wanaovaa suti wanatuharibia timu .
  3. mujunwa

    Vitambulisho vya NIDA ndio vitumike kupiga kura wakati wa Uchaguzi

    Haya ni mapendekezo yako au ya NEC ?
  4. mujunwa

    Inasemekana Waafrika wawili akiwemo Mtanzania Nemes waliofariki vitani wakipigania upande wa Urusi walikuwa wanafunzi

    Labda kijana alikuwa " KITENGO KITENGONI .'' Najaribu kufikiri nje ya duara .
  5. mujunwa

    100 ways to love

    For sure what you have wrote is somehow practical to western world but almost impossible on third world though there are some good truth . Practicalities of relationship will also remain mysterious .
  6. mujunwa

    100 ways to love

    Agree with you . Women are wired differently . They have never come across to know what they want exactly .
  7. mujunwa

    2021 AFCON Special Thread

    giara nd'o nani ?
  8. mujunwa

    Uwanja sawa, lakini Bil. 2 hapana!

    Mkuu umeandika mambo mengi mazuri lakini hujajibu hoja ya jamaa kwamba kimsingi je hiyo 2b ambayo si haba anaitoa kama mwanachama au shabiki wa kawaida au kama mwekezaji ? Nafikiri hoja iko hapo . Kwamba , kama anatoa 2b kuonesha mfano kwa wanachama , wapenzi , mashabiki na wadau wa soka...
  9. mujunwa

    Uwanja sawa, lakini Bil. 2 hapana!

    Kuna kitu hapa . Ngoja niendelee kutumia akili yangu ipasavyo kabla sijafikia hitimisho . Asante mkuu . Mimi ni Simba damu lakini kuna HOJA kwenye bandiko lako . Credit kwako .
  10. mujunwa

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Jamaa analingia sana story yake .
  11. mujunwa

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Roho imekuuma maana wewe ni kuku wa broiler . Enzi hizo dunia haijawa kjiji , tv ilikuwa kwa Ñyerere tu . Wewe unaongea mambo ya Ulaya . Kipindi hicho nani angekuruhusu uende ulaya hovyo ? Wakati huo Ulaya kwenyewe walikuwa na wanaume wa shoka , sio hawa wa kizazi chenu cha kujipodoa na...
  12. mujunwa

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Itutu Kigi " Road master ''
  13. mujunwa

    Kibu Denis

    Uko sahihi . Nilichogundua watanzania wengi wanashabikia mpira hawajui mpira na hawaamini kwenye utaalam . Tunapaswa kujua yafuatayo :- 1 . Mchezaji yeyote anapikuwa mpya kwenye timu anapaswa kupewa muda kuzoea mazingira na mfumo wa timu aliyohamia . Kibu ana kipaji cha soka na anajua mpira ...
  14. mujunwa

    Francis Kahata aaga Simba SC

    Chikwende ana tatizo gani ? Huyo jamaa hajapewa tu nafasi ya kutosha lakini anajua sana na umri wake ni mzuri . Kuwa na subira atakufunga mdomo muda siyo mrefu .
  15. mujunwa

    Francis Kahata aaga Simba SC

    Nakubaliana na wewe .
  16. mujunwa

    Simba leo alipotea katikati

    Utakuwa ni mkurungwa wa uto fc .
  17. mujunwa

    Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

    Mtoa mada umedhihirisha ujinga na ushamba wako . Bora ungeuliza kwanza watu wakueleweshe . Kim wa Korea Kaskazini alimkaribisha Rodman mchezaji wa kikapu wa NBA . Hapo Mh.Mwinyi anaua ndege wengi kwa jiwe moja . Tunatangaza utalii , tunahamasisha michezo , tunaitangaza Zanzibar na Tz , tunajenga...
  18. mujunwa

    Tanzania Bara na Zanzibar waunganishe ligi

    Ngoja tusubiri . Tuombe uzima mkuu.
Back
Top Bottom