Search results

  1. xcul

    Niko njiapanda Sijielewi Jamani

    unajua leah anakuona upo weak kwa kumtafuta wakati kesha kutenda ww sepa mkuu koma na huyo mdada mpya tena ni bora huyo unayejua nakupenda kuliko leah ambaye akajali na ukumbuke mkataa pema pabaya panamwita sasa sijui unataka nn akati kama mpenzi ushampata acha uboya kijana
  2. xcul

    comment on your month!

    :poaJULY BABY
  3. xcul

    Rafiki anamchukua demu wako

    mbona hapo pepesi kbs unachapa mwendo dunia ya kufanywa kandambili kuendea chooni tu za nn mm nlikuwa na rln na mtu nikaja kujua anatumix na mchizi nikamcall mchizia kaja na demu nikamkabidhi
  4. xcul

    Matarajio. . . . .

    yaani kama ulikuwepo those unrealistic zipo kwa wengi juzi nimetoswa eti anataka niwe na msaidia jamaa nikatoka nduki bila kugeuka
Back
Top Bottom