Search results

  1. moto wa maji

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Haina mkuu unajua maana ya kustaafu?
  2. moto wa maji

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Sisi ambao hatukua waajiriwa tuna comment wapi?
  3. moto wa maji

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Wangapi walilala chumba kimoja mkuu?
  4. moto wa maji

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Kwani usipojipa umuhimu ndio haufi? Mimi ntajipa umuhimu kama kawaida ikitokea nimekufa ndio ishatokea siwezi nikajiweka nyuma
  5. moto wa maji

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Umeshindwa kupinga ufukara wako wa kufikiri unapinga vitu ambavyo havikupi faida yeyote
  6. moto wa maji

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Piga mti wa maana huyo halafu mwache zake shenzi kabisa
  7. moto wa maji

    DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    Safi ujumbe mzuri sasa utanikuta pale kwa mangi mzumbe tupate kvant
  8. moto wa maji

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Watu wengi wachawi wanapinga kwamba uchawi haupo ili wazidi kuumiza wengine kwa uchawi sasa akilini kichwani mwako ndgu yangu
  9. moto wa maji

    Wakuu nina wazo

    M Mwandiko wa kike huu kabisa yani
  10. moto wa maji

    Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

    Mtoa mada mjinga sana yani unapima umuhimu wa mtu kwa matatizo yako hivi ni kweli? Acha upumbavu kabisa unamuomba Mungu matatizo
  11. moto wa maji

    Inauma sana na haivumiliki

    Kwa upande wa wanawake kutendwa ni 1% katika 100% kwahiyo ni halali yenu kufanyiwa hivyo na miaka inayokuja itakua kinyume wanawake watatendwa sana hadi mtubu
  12. moto wa maji

    Kikristo, uchawi haupo

    Hajui lolote huyo hajafanya tafiti yeyote ile
  13. moto wa maji

    Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    Huyu mimi kabisa yani sina mda na hayo mavitu
  14. moto wa maji

    Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

    Malizia kabisa hivi mkuu You got no friend in your work place
  15. moto wa maji

    Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

    Mkuu Unadanganya wewe pale Iwambi watu wanataka viwanja kwa kasi sana na bei iko juu sana
  16. moto wa maji

    Sahihi kwa mwanaume aliyekamilika kusherekea birthday?

    Huwa hupendi kukosolewa wewe hatutaki habari za uongo
  17. moto wa maji

    Sahihi kwa mwanaume aliyekamilika kusherekea birthday?

    Mkuu naomba usiongee vitu ambavyo huvijui yani watu washerehekee birthday huku duniani na mbinguni wapoteze mda kusheherekea vile vile nipe ushahidi hapo?
  18. moto wa maji

    Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

    Hapa hakuna ukweli ila tunashukuru kwa utunzi
Back
Top Bottom