Search results

  1. 53930

    Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Ungeogopa na UKIMWI hivi......
  2. 53930

    Msaada: Kazi ya kuuza duka inatafutwa

    Anatafuta kazi specifically kuuza duka. Je, duka la vifaa vya ujenzi kubeba nondo na cement ataweza??
  3. 53930

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Njaaa, wasomi wengi ni njaaa. Wanafikiri ukiongea kwa kuunga mkono upande fulani utatatafutwa upewe mshiko. Hizi njaa za wasomi hasa waalimu wa vyuo vikuu ni kali sana. Kufundisha darasani ni tofauti na ku practice mtaani. Hivyo bora wabaki huko huko darasani kwao. Kama hawaelewi namanisha nini...
  4. 53930

    Tokea Uhuru: Uchaguzi huu pekee CCM inakiri hatari ya kushindwa

    Ballot box. Inside the box. Every thing is ok
  5. 53930

    Sitta: Nikiwa Rais nitataifisha mali zisizo na maelezo!

    Alitudhulumu katiba yetu na kuitafisha tusikojua. Hizo ma atataifisha azifanye zake. Hana uwezo wa kusimamia maamuzi yake binafsi. Atawezaje kuamua makubwa ya Taifa hili. Bunge la katiba alitufunza mengi sana. Kama anatumia busara hata ubunge asigombee tena kwani alitenda dhuluma kubwa sana ktk...
  6. 53930

    Watu 10 Mashuhuri waliouawa kwa kupigwa Risasi

    Umemsahau 1.Lucky Dube na Senzo 2. Carlos na Osama 3. Nk
  7. 53930

    Msaada Windows 8.1 error 0x000021a

    Mtaalamu wa hizi mambo ni BILGATES, mtafuta atakutatulia tatizo
  8. 53930

    Kuliko kuwa na mpenzi, ni bora ninunue changudoa

    Dah. Bull shit. Mwanamke mwenye malengo ya kuolewa kuchepuka ni aibu. Hii ni kesi anakuletea. Sasa akichepuka the ukakasirika ukamuua atasemaje? Anakufa afu anaenda kusema umemuonea. Shit
  9. 53930

    AJALI: Lori la mafuta lagongana na basi la Burudani uso kwa uso Soni, Tanga

    Mbona ajali za UNGO ni chache?? Zinatakiwa nazo ziongezeke ajali za usafiri wa UNGO
  10. 53930

    Maaskofu ndio wasaliti

    Sio kila mtu anaelewa maana ya KATIBA. wengine wanafikiri labda ni kitabu cha shule km vingine. Hivyo mtu km MAASKOFU wamekaa wakajadili na kiona haifai mimi naona ni sawa. Km ipo sawa hii KATIBA Kwanini walioshoka dola washawishi kupiga kura ya NDIYO? Hata aliyepo Madarakani aelewe kabisa nae...
  11. 53930

    Ni halali kutozwa ushuru wa stendi Tarakea pasipo na stendi?

    Wakwepa kodi utawajua tu. Lipa kodi upate huduma bora. Kama hakuna stendi hapo unadaiwa kodi ni nyumbani kwako?? Kama hutaki kulipia ushuru kapaki nyumbani kwako abiria wakufuate huko nyumbani kwako.
  12. 53930

    Hadithi ya kusisimua: Nchi ya wachawi-1

    A good story. Always belive in GOD. Stay blessed
  13. 53930

    Matangazo ya makampuni ya simu kwenye simu ya mteja ni kero

    Makampuni ya simu za mkononi yanatabia ya kutuma matangazo yao kwenye simu za wateja. Sio watu wote wenye simu wanapenda miito ya simu au hudumafulani wanazotangaza kupitia sms na kuingia kwenye simu za wateja. Binafsi zinanikera sana hizi sms kwani hawanilipi chochote kwa promo zao nikujaza...
  14. 53930

    Hivi kwanini majambazi wanapenda sana kutumia Boxer BM 150..?!!

    Hii pikipiki inachanganya fasta kwani ina gear 4 tu halafu wakati wa kuingiza gear ikiwa speed 35km/hr unakuwa umeshaingiza gear zote
  15. 53930

    Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

    Mkuu nimekupata sana kwa ufafanuzi wako. Je, stability ya operating system zake vipi?
  16. 53930

    Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

    Mbona hawigizi ya sisiem????
  17. 53930

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Katiba maana yake ni nn?? Kama unaenda kinyume na katiba ya chama lazima tuwe na wasiwasi hata ukipata nafasi ya juu unaweza kuvunja hata katiba ya nchi. Hapa Unaogea mkojo matokeo utazidi kunuka....
  18. 53930

    Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Kwa maelezo yako vinaweza kuwa ni GENITAL WARTS. Hii genital warts ni upele unaota lkn sio upele kamili ni km uvimbe unaota km ua hivi then unasambaa sehemu za haja kubwa. Ni ugonjwa wa zinaa ambao hutokana na mtu kuwa na multiple partiners. Na ugonjwa huu husababishwa na virus vinavyoitwa HUMAN...
  19. 53930

    Zitto anakataje Rufaa wakati aliomba kujiuzulu?

    Bora Chenge alitamka hadharani bilioni ni vijisenti.
Back
Top Bottom