Search results

  1. Pi Network

    Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

    Wenye akili hutafakari kwanza, wapumbavu wao huamini kila wanalosimliwa!
  2. Pi Network

    Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

    Matahira huwa yanaamini kila yanachosimuliwa! Shida sana![emoji36]
  3. Pi Network

    Yanga watafanya vizuri kimataifa zaidi ya simba msimu ujao

    Naunga mkono hoja[emoji113]
  4. Pi Network

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji599] BREAKING: Liverpool wanatazamiwa kumzawadia mshambuliaji Diogo Jota kwa mkataba mpya mnono kama zawadi kwa mwanzo mzuri wa maisha yake ya soka hapo Anfield. Mazungumzo ya mkataba yanapaswa kuongezwa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno. Jota amekidhi matarajio ya utendaji kazi...
  5. Pi Network

    Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

    Huu ni ujinga au wewe ndo MJINGA kwa kuwa hujielewi. Kwa kuwa hao wanajielewa ndo maana wapo hapo.
  6. Pi Network

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji12]
  7. Pi Network

    Tetemeko la Ardhi Afganistan; Mtoto miaka 3 anusurika kifo pekee katika familia yake

    Mtoto huyu mdogo ndiye pekee aliyesalia katika familia yake. Wenyeji wanasema hawakuweza kupata mtu yeyote wa familia yake aliye hai. Anaonekana kama mtoto wa miaka 3.
  8. Pi Network

    Rais umekosea kuwakilishwa na Balozi kwenye mkutano wa EAC kuhusu Congo

    Kwenye lugha ya Kiswahili, kuna msemo maarufu wa wahenga usemao; twiga anaponzwa na urembo wake.
  9. Pi Network

    UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

    We jinga kweli, maendeleo gani ya kuwatoa watu kwa nguvu kwenye aridhi yao kwa maslahi ya watu wachache... Majitu kama wewe ndo yanayo turudisha nyuma kwenye taifa hili!
  10. Pi Network

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool wamejiondoa kabla ya Mashetani wekundi (Red Devils) katika mbio za kumsaka Nunez. (Star) Chanzo: BBC Swahili
  11. Pi Network

    Kitendo cha wabunge wa CHADEMA na ACT Wazalendo kumpigia kura Spika Tulia kinaonyesha wamekomaa kisiasa

    Wajinga kama wewe ndo mnaoturudisha nyuma kwenye taifa hili. Kwa akili yako mle ndani wamo wabunge wa upinzani!?
  12. Pi Network

    Katibu Mkuu CCM Taifa na Sekretarieti ya CCM Taifa kufanya ziara mkoa wa Simiyu

    Wajanja wanachanja mbuga kuimarisha taasisi yao ili waendelee kula maisha mazezeta hapa JF yanashabikia kwa kuinanga Chadema huku yakizidi kuwa masikini siku hadi siku! Ujinga ni ugonjwa mkubwa sana![emoji26]
  13. Pi Network

    Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Jinga sana, akili yako matope tu! Mimi ningekuwa Rais wa nchi hii watu wa aina yako mngekuwa chakula cha mamba na si vinginevyo...
  14. Pi Network

    Zitto anavyowafundisha CHADEMA kufanya siasa

    Majitu ya aina yako ndio yanayo turudisha nyuma kwenye taifa hili. Miaka 60 ya uhuru majinga yameongezeka badala ya kupungua, nchi inazidi kuelekea gizani..!
  15. Pi Network

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Swanglish inazidi sana mkuu! Tumia lugha moja, hasa ile unayoielewa vizuri.[emoji56] Ni ushauri tu.
  16. Pi Network

    Humphrey Polepole: Bandari ya Bagamoyo sio muhimu kuliko Bandari ya Dar na Tanga

    Akili mbovu hushambulia mtu zaidi kuliko kushindanisha hoja. Ili kauli ya Polepole ikose tija, njooni na kauli nyingine inayoonyesha ni namna gani bandari ya Bagamoyo itakuwa na tija kwa taifa ili tuwaelewe..
  17. Pi Network

    Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu

    Mtu aliyesoma kisha akaacha kuitumia elimu yake kwa ufanisi, elimu hiyo huwa inakufa; hivyo unabakia kuwa msomi ila mpumbavu.
Back
Top Bottom