Search results

  1. A

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu kuanza kuzagaa kwa habari kuhusu utata wa elimu ya kidato cha nne ya bwana Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Kama inavyosemekana makonda alitumia cheti cha kidato cha nne cha bwana Paul Christian baada ya yeye RC Makonda (wakati huo akiitwa...
  2. A

    Mawaziri wafuatao wanastahili kujiuzulu kumuunga Nape Mkono

    Kigwangala msitegemee ajiuzulu, the man is very opportunistic. Jamaa mpuuzi kweli, kwani anaweza kutumia issue ya nape kama fursa ya kumpaisha kisiasa!! Very Unreliable politician ever seen in this country!!!! Ova!!
  3. A

    Imebaki bunge tu, we need vote of no confidence to Mr. President

    Hujui kitu wewe, system haijawahi na haitawahi kuwahusisha watu kama kijo bisimba, gwajima, na ukawa, labda nikuibie siri kidogo!!! Japo siruhusiwi!!! Wakati wa vuguvugu la uchaguzi ndani ya ccm 2015 ambapo nguvu ya Lowasa ilikuwa kubwa na hakuna aliyeoneka anaweza kumzuia kupitishwa kugombea...
  4. A

    Imebaki bunge tu, we need vote of no confidence to Mr. President

    Acha kutisha watu hapa JF, unaandika kitu usichokujua. Keep quite!!! Kiongozi yeyote huwekwa madarakani na task team au system, hii hujumisha watu mbalimbali ambao wengine wapo kwenye siasa Na vyombo vya usalama kama TISS na JWTZ. Rais anapowadanganya kuwa alienda kuchukua form mwenyewe Na...
  5. A

    Imebaki bunge tu, we need vote of no confidence to Mr. President

    Wewe si ndiye ulikuwa ukimpigia kampeni magufuli hapa JF 2015?? Na mwenzio Lizaboni, Sasa mtafute Lizaboni , simiyu yetu, pohamba na vuta nikuvute Mzee wa Lumumba muunganishe kilio chenu. Ova!!!
  6. A

    Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

    Anapaswa awe segerea sasa hivi, hata hao nashangaa amebaki nao vp huyu mhalifu Mkubwa , kwanza leo iwe mwisho kuonekana ofisini. Hiyo ni ofisi ya UMMA sio ya makonda. Anaepaswa kufanya kazi hapo ni mtumishi mwenye Maadili ya uongozi na mtenda haki sio hili jambazi, mla rushwa na aliyeghushi...
  7. A

    Sumaye aisifu awamu ya 5 kwa maendeleo

    Acha kumlisha maneno Mzee wa watu.
  8. A

    David Kafulila: Ni njia ngumu lakini ndio njia pekee!

    Well said Kafulila!!!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Twende kazi!!!
  9. A

    Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Mimi sina chama lakini naomba nikuulize kwenye hii issue udaku uko wapi? Utakuwa unafikiri Kwa kutumia makalio. Watu wanapigania misingi ya haki wewe unaleta uchama. Nape mwenyewe ndo nguli wa CCM, sasa chadema wanaingia vp hapa!!! Make up your mind Plz.
  10. A

    Wote wameogopa kuongea na Rais kwa Lugha ya mtaani. Mimi, Rais nivumilie...

    Huyu Rais kakidhalilisha sana kiti cha Rais, hafai kabisa, anatoa kauli chafu za kutudharau wananchi na kukumbatia waovu, bunge litusaidie tumfukuze kazi akadumishe ndoa yake na makonda !!!! Au wananchi tuingie barabarani !! Nyerere alituachia nchi yetu ikiwa na misingi mizuri kabisa, huyu...
  11. A

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. A

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Afadhali asipige kabisa kwani anajdhalilisha sana huyu Mzee!!! kiongozi wa nchi maskini kama Tanzania unapata wapi muda wa kupiga simu private TV station na kusikiliza Shilawadu!!!! Tuna bahati mbaya sana kama sio laana ya nchi kuongozwa na rais wa namna hii. Hovyo kabisa.
  13. A

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Libichwa ephraim kibonde lije liendelee na usengerema wake wa kumsifia makonda kwenye jahazi!!!! Ruge alitumbue tu likifanya ujinga huo tena leo!!!!!
  14. A

    Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!

    Paskali Mayala a.k.a Njaa Mirembe inakuhusu, ukahifadhiwe huko upewe tiba ya akili, hakuna anaekuamini tena kwa maandiko yako, either NJAA inakusumbua or UMEVURUGWA Akili. Moderators pigeni BAN Kali huyu kiumbe, ban hii iwe funzo kwa watu wa aina yake ambao huposti kitu wasichokuwa na imani...
  15. A

    Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

    Huyu Mzee anajidharirisha sana kwa kumuacha huyu dogo akiendelea kupeta huku akijua kabisa kafoji cheti cha form four pia anatumia mali za watuhumiwa wa madawa ya kulevya!!!! Bado tu unamvumilia mtu kama huyu!!!! Rais hutakiwi kuwa na double standard kwa wananchi wako, basi aseme hadharani wale...
  16. A

    Clouds wahaha baada ya kum-record mwanamke anayedai kazaa na Askofu Gwajima

    Hili li redio life tu, imeanzishwa kihuni Na kuendeshwa kihuni huku ikiwa na watangazaji makanjanja!!! Kazi kusifia vitendo vya kipuuzi vya bashite. Life tu hata leo!!!! Kamanda mange kimambi lazima awajampishe!!! Mburulaazz wakubwa hawa hasa hili likibonde kicwa kubwaaazz limejaa topeeezzzzz !!!
  17. A

    Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Atakuwa anapiga nae dili hizi za kuhongwa
  18. A

    Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Atakuwa anapiga nae dili hizi za kuhongwa
  19. A

    Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Iwe ya kwake au kapanga wewe itakuongezea au kukupunguzia nn?? Unapenda udaku sana wewe!!!
Back
Top Bottom