Search results

  1. MD24

    Waziri Mkuu atoa pole kwa Prof. Tibaijuka kwa kufiwa na mama yake

    Yale mabilioni ya Tibaijuka yalishindwa kuongeza au kununua uhai wa mama yake?
  2. MD24

    Mkurugenzi wa zamani wa ATCL, David Mattaka apandishwa kizimbani

    Mbona JK ni Prof Mwenye PhD 7 lakini ndilo lijizi lililokubuhu.
  3. MD24

    Putin asitisha Mashambulizi Syria

    Mkuu Ngoja nikuanzie mbali kidogo. Wakati ule wa uprising ya Ukraine ambayo ilianzishwa na kuchochewa na US, Putin kwa Mara ya kwanza alionekana kama anaangalia tu vile. Lakini mwishoni alipofanya surprise annexation ya Crimea (part of Ukraine), ile move iliwaacha hoi sana hao US kwani...
  4. MD24

    Hakuna kilimo cha umwagiliaji,hakuna ajira,hakuna mvua za uhakika,unakamataje vijana wasio na kazi?

    Alishasema "watalima kwa meno". Sasa vijana wajiandae kulima kwa meno.
  5. MD24

    Hakuna kilimo cha umwagiliaji,hakuna ajira,hakuna mvua za uhakika,unakamataje vijana wasio na kazi?

    Eti unakamatwa na kuwekwa kambini ili ujifunze kulima. Sasa kwa mfano hapa Dar es Salaam, je nikalime lami?
  6. MD24

    Putin asitisha Mashambulizi Syria

    Putin ni chess master... Na hiki alichokifanya ni "checkmate" Sasa ni jukumu la US na wayahudi wake wawadhibiti hao "terrorists" wao au vita iendelee sasa. Putin alishasemaga US haiwezi kuwa "Subdue". US ameachwa sasa awa control Terrorists wake. Kwa maana sasa hali ni shwari na atakayeanzisha...
  7. MD24

    Putin asitisha Mashambulizi Syria

    Haya ndio mambo ambayo Putin alikuwa anayasema. Europe haitakuja kukaa sawa tena. Shots fired at police in Brussels during search linked to Paris attacks - report Published: 15 Mar 2016 | 14:21 GMT Shots have been fired at Brussels police during a search linked to the November 13 terror...
  8. MD24

    Putin asitisha Mashambulizi Syria

    Haya ndiyo aliyokuwa anamaanisha Putin. "Our mission has been accomplished" Car explodes in central Berlin, 1 dead, police suspect a bomb Published: 15 Mar 2016 | 10:07 GMT A car has exploded in central Berlin on Tuesday morning, leaving at least one person dead, local media report...
  9. MD24

    Putin asitisha Mashambulizi Syria

    Nadhani Putin aliposema objectives ya ile vita imekamilika, ni watu wachache sana ambao watakuwa wamemuelewa. Hizi ni baadhi ya objectives: 1. Kusukuma wakimbizi wengi wa kiarabu bara la ulaya. Hii inapelekea vitu vifuatavyo (a) mzigo kwa ulaya kuwahudumia hao wakimbizi. (b) Security concern...
  10. MD24

    Putin asitisha Mashambulizi Syria

    Generally, the objectives of our mission in Syria have been accomplished. - Putin. Sasa hivi kuna cease fire agreement pale kwa hiyo hata hao ISIS pamoja na waasi wengine hawawezi kumshambulia tena Assad. Russia bado ina military bases kwa ajili ya ku monitor situations. Pia kumbukeni zile...
  11. MD24

    Nauza Line za M-Pesa na Tigopesa

    Bei ni: MPesa 200,000 Tigo Pesa 250,000
  12. MD24

    Nauza Line za M-Pesa na Tigopesa

    Wana Bodi Nauza line za MPESA na Tigo Pesa. Mwenye kuhitaji ani PM Asante.
  13. MD24

    Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

    Nilikuwa nachukia somo la Agriculture Nilikuwa Pugu Secondary
  14. MD24

    Askari na mpenzi wake waungua moto hadi kufa

    Dhambi ya uzinzi ni mauti.
  15. MD24

    Viwanja vinakopeshwa bila riba Chanika, Dsm

    Mkuu nimekucheck PM. Naomba unijibu tafadhali
  16. MD24

    Abubakari Zuberi, Mufti wa Tanzania alazwa Muhimbili

    CCM wamsaidie kwenye matibabu.
  17. MD24

    Heshima ya CPA holder ma Masters inashuka sana.. Nini kifanyike?

    Ishu hapa ni Supply Vs Demand. Ni kweli usiopingika kwamba huko zamani wahasibu wenye CPA walikuwa ni wachache sana sana, NBAA walikuwa wanabana sana, kuanzia utungaji wa mitihani mpaka kusahihisha. Kwa hiyo wahasibu walikuwa wachache. Leo hii Mambo yamebadilika, CPA imekuwa sio ngumu ki...
  18. MD24

    Wizi wa vifaa TRA wafikia patamu

    TRA walikanusha kuwa hizo komputa hazikuibiwa. Huyu Siro anashinikiza ziliiniwa. Kazi hipo hapa.
  19. MD24

    Michezo Maarufu Vikoba inalostisha

    Sio Vicoba tu, hata ukimkopa mtu unatakiwa uwe makini na hiyo pesa.
Back
Top Bottom