Hata mimi nakumbuka akiwa Kibasila na hata Suwata nilikuwa namwagiza dereva wangu mahotpot, hasa nikitembelewa na rafiki yangu Jemima na boyfriend Eliya enzi hizo kabla hawajaoana
Kama ulikua hujui kuwa TANZANIA SIO NCHI MASIKINI ILA WATU WAKE NDIO MASIKINI wacha nikufahamishe;-
WATU wengi huamini kuwa Tanzania ni nchi MASIKINI, Lakini sio kweli Tanzania sio nchi MASIKINI, Tanzania ni nchi tajiri tena zaidi ya MAREKANI.
Ila watu wake ndio MASIKINI tena MASIKINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.