Search results

  1. O

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    umejuaje hayo yote kama nawe pia si mchawi?
  2. O

    Naomba msaada kwa anayejua soko la asali

    We dogo inaonekana ni mjanjamjanja tu, hiyo email network inapatikana ila simu network hamna?
  3. O

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    swali kwa wagombea wote: kama utafanikiwa kuchaguliwa, je utakua tayari kurudisha serikalini viwanja vya mpira e.g ccm kirumba pamoja na vitega uchumi vingine vilivyojengwa kwa kodi za wananchi (kipindi cha chama kimoja) vinavyomilikiwa na ccm?
  4. O

    Must see Movies

    ...go to the village of Ituango, park in front of a Church, there will come your campacino...TAFUTA HII MOVIE UTAENJOY
  5. O

    Natafuta kazi ya kufundisha

    geography, history na pia kiingereza! chuo gani ulisoma masono matatu kwa bachelor degree? uwongo utakunyima kazi.
  6. O

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    kumbe tatizo urais, eti nimepelekwa hadi nje ya nchi kuandaliwa kuwa rais unsfikiri kama binadamu mwenye moyo wa nyama ungejisikiaje?
  7. O

    Mimi ni mama N'tilie, nahitaji mkopo wa biashara

    jiunge na saccos utakopesheka vinginevyo utahangaika sana
  8. O

    Kwa hali hii CCM lazima waondoke madarakani

    Mwaka juzi niliikatia gari (premio) bima elfu 45, mwaka jana niliikatia gari hiyohiyo bima laki moja, leo hii naambiwa bima laki moja elfu kumi na nane. Kwanini nisiipigie upinzani kura?
  9. O

    Nikuhudumie nini tafadhari

    Fisadi mtoto
  10. O

    Mafuriko!!

    hahahaha
  11. O

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Huyu Dr Slaa si tiliambiwa kwamba 2010 hakuea na mpango wa kugombea urais ila ALIOMBWA tu, iweje leo mwingine ameombwa halafu anakasirka?
  12. O

    Naomba kujua soko la Rupia ya Mjerumani na bei yake!

    Rupia , mayai ya Bundi etc. yanauzwa kiulagai sana, mtafute mtu muwe wawili, mmoja anatangaza soko ya rupia kwamba uko tayari kununua kwa milioni hata kumi then unaacha contact zako wakati wakiendelea kutafuta rupia inayohita(kwa specifications ulizotoa) then yule mwingine anjitokeza kwamba...
  13. O

    mtungi wa gesi unahitajika Dodoma

    nihitaji mtu wa KUBADILISHANA nae mtungi wa gesi nampa mtungi mdogo ORYX ananipa mtungi mkubwa namuongezea na pesa. ni pm kama uko tayari
  14. O

    Jinsi ya kumtega Kware

    wape pombe wanywe badala ya maji, wakilewa utawapata wote. Ndugu LEGE hawa sio kware, kwa kiswahili sijui wanaitwaje ila kiluo tunwaita ALURU
  15. O

    Hili ni kosa kubwa la kimkakati la UKAWA: Kuweka mgombea mmoja kwenye ubunge, udiwani na urais

    nafikiri vyama vyote viweke wagombea mpaka pale mapingamizi yatakapokua yametolewa maamuzi then wengine wanajitoa anabaki mteule mmoja wa UKAWA. hili litaepusha yaliyjotokea serikali za mitaa ambapo sehemu nyingi CCM ilishinda kwa mapingamizi
  16. O

    Dawa ya sikio

    tafuta mafuta ya kuku, dondoshea asubuhi na jioni. chinja kuku aliyenona ndo utapata mafuta. kuku wa kienyeji ndo nina uhakika nao, wa kisasa sina uhakika ingawa kuku ni kuku tu. leta mrejesho.
  17. O

    Nauza kware

    Kwa mkazi wa Dodoma anayehitaji kware ani PM, bei Maelewano. Wameanza kutaga
  18. O

    mashine ya kuangulia vifaranga vya kuku zinauzwa.

    toeni specifications na bei tuone kama tunaweza kumudu
  19. O

    Wapinzani mnatetea ufisadi uliofanyika IPTL kwenye Tegeta Escrow account

    Hivi bado unamwamini ZZK? hebu tuambie fedha za Uswisi za nani?
  20. O

    chezzea kichapo cha skuli eeh

    Dah, basi kuna monita wetu tukiwa darasa la tatu alikua mnoko balaa ila alikua hajui kusoam na kunadika. nakumbuka alimuomba jamaa amuandikie majina ya wapiga kelele, cha kushangaza, jamaa aliandikaa majina ya kaka zake na dada zake tu. Kwa kujiamini si akapeleka yale majina kwa ticha. bala lake...
Back
Top Bottom