Search results

  1. baraka bb

    Kumbe Vannesa Mdee ni Kipofu/Haoni

    sina mda wa kuwasalimu Kupitia video fupi aliojirekodi mwana music wa zamani Vanessa mdee AKA vee money,,, Ametuambia kua yeye alipata tatzo la macho akiwa mdogo lilopelekea kutokuona kwake Nawasilisha, usimcheke mtu jamaan watu walikuwaga wanamcheka macho yake kumbe bidada...
  2. baraka bb

    Rafiki wa kike jitokeze utojuta kujuana na mimi

    Habar zenu wadau,, Mim sio muandishi mzuri sana ila nimekuja hapa natafuta rafiki wa kike,,, mimi age yangu 28yrs mbishe zangu nafanyia dar es salaam nmeajiriwa kibishi,, rafiki age yoyote ile ila awe anaishi Dar, elimi na dini me sijari hata kama mpagani hyo ni dini yako,,, uwe mcheshi sina...
  3. baraka bb

    Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

    Jana kwanye show ya Wasafi tumewasha na Tigo ilibidi show ighailishwe baada ya Rayvany kucheza nyimbo yake ya Nyegezi akaanguka na kuvunjika mikono yote miwili.
  4. baraka bb

    Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

    Mambo vipi, Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani. Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani...
  5. baraka bb

    iPhone 6 imezima ghafra wap naweza pata mtaalamu wa kuiamsha

    salama wakuu Natafuta fundi mzuri wa iPhone imezima ghafra yaani iliisha charge nikiwa kwenye mizunguko yangu,, niliporudi home nikaichaj aijawaka tena
  6. baraka bb

    Hapa nini tatizo kwenye hii computer, msaada wenu

    Habari zenu wakuu, Computer yangu aina ya HP EliteBook, ghafla tu nikiwa naitumia ikaanza kuonyesha maandishi mara mbili mbili yaani kama simu vile ikiwa imekifa kioo. Sasa nashangaa hili tatzo linatokana na nini maana kama kioo kimekufa mbona sijaigonga wala kuidondosha. Kuna mtu nimemuuliza...
  7. baraka bb

    Hawa jamaa Magufuli awaangalie kwa jicho la3

    Eeenh muheshimiwa Rais Magufuli waongezee chochote kitu hawa jamaa watatu au kwenye teuzi zako wapachike sehemu wamecheza sana leo hadi jasho[emoji847] Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  8. baraka bb

    TFF, leo Yanga lazima ashinde ili akatuwakilishe kimataifa

    Habari wana futiboli wenzangu Mimi ni Simba damu ila naona umuhimu wa leo Yanga kushinda ili akachukue hili kombe akawakilishe kimataifa mnajua kwanini. Simba tayari kashakata tiketi ya kucheza kimataifa so kama atashinda leo hiyo itakuwa imeipeleka Namungo moja kwa moja kucheza kimataifa kitu...
  9. baraka bb

    Tumeanza kujisahulisha kazi ya Mungu

    Habari zenu wakuu, Polen na vita juu ya hili janga covid 19 Tusisahau hata kabla ya corona watu walikuwa wanakufa na kila kifo sio kwamba kilikuwa kinatangazwa humu, Ila sasa imegeuka tabia mtu ukijifia zako hata kwa maralia watu mnakuja mbio humu kusema oooh hali mbaya mmeshasahau kama kifo...
  10. baraka bb

    Nianze na nini wadau nimechoka kuishi kishamba.

    N aje ni vip ? Husika na somo tajwa hapo juu.. me ni kijana chini ya miaka 30 nimepanga chumba kimoja huku Tembon kipato changu cha kawaida sana under10k per day. sasa bhana nisiwachoshe wala msinichoshe nataka nianze kuishi kijanja yaan ile kidaslaaam. nataka nianze na pombe niwe naweka gheto...
  11. baraka bb

    Clouds wamesanda kwa WCB waanza kupiga nyimbo zao

    Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa wamesanda.
  12. baraka bb

    Nunua au tubadilishane Gallaxys2

    Habari wakuu, Nauza Samsung Galaxy s2 au niko tayar kubadilishana na Tecno K7 au Spark3,, sababu ya kuuza au kutaka kubadilishana mm nafanya kazi ya Uber so hii simu imekataa uber driver App. Bei nauza ni 150,000/ pungufu unaongea niko Dar Kimala
  13. baraka bb

    Msaada Samsung j5 Network azisomi

    Habari zenu wakuu Samsung j5 inasumbua sana upande wa Network had ukae mjini kabisa ndi inasaport network japo bado inakuwa iko low sana tatizo limekuwa kubwa zaid hata data aiwaki Nino shida hapo wataalamu
  14. baraka bb

    Wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki 1 ili kijana mwenzenu nipendeze siku ya harusi ya dada yangu?

    Habari zenu wazee baba Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti. Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani hivi cha kisasa ukumbi mzima washangaee na niweze kung'oa mademu kupitiia hiyo suti nitakayovaa...
  15. baraka bb

    Ushauri, safari ya Dar-Mwanza: Basi gani ni zuri kupanda kwa sasa?

    Habari zenu wakuu,,nataka kusafiri kesho natoka mwanza kwenda Dar ni basi gan zuri luxury na alilali njian msaada wenu muhimu kabla sijaenda kupigwa changa la macho na wale ma agent stend
  16. baraka bb

    Mnaotumia barabara ya Mwanza mtatusamehe kwa usumbufu

    Habari, bila shaka kwa watumiaji wa barabara ya mwanza wamekutana na changamoto kadhaa kipande cha kutoka Igunga had Ziba,, polen kwa usumbufu kwa wale baadhi waliokuta tukiwa kwenye shughuri zetu na kuwasimamisha kwa takriban nusu saa, tupo kwenye shughuli za kujenga taifa letu,, ahsanteni
  17. baraka bb

    Nauza Flat screen tv na simu samsung s3

    Rejea kichwa hapo juu nauza tv flat sreen 270,000/= na simu samsung s3 150,000/= nko mbezi kimara mawasiliano 0712846799 na 0767834342 picha izo chini
  18. baraka bb

    Serikali inajua hiki tunachofanyiwa na Halmashauri ya Wilaya Kibaha

    Habari zenu wakuu! Mimi ni dereva wa fuso ya kubeba mchanga, huwa tunafata mchanga Kibaha na kupeleka Dar es Salaam. Kipindi cha nyuma tulikuwa tunafanya kazi usiku na mchana na huwa tunanunua mchanga sh 10000/= ushuru wa halmashauri Kibaha 3000/= na Kinondon 1000/= Halmashauri ya Kibaha...
  19. baraka bb

    Mh. Magufuli Tengua kauli yako kuhusu '5000 ya Kiwi' , Askari watatuua njaa!

    Habari zenu, poleni na majukumu ya kila siku Mimi ni dereva wa gari la mizigo huwa tunafata mchanga kibaha tunaleta Mbezi Dar kuja kuuza kule Kibaha huwa tunalipa 10,000/=chimbo 10,000/= upakiaji 3,000/= halmashauli kibaha,2000/= kijiji (inategemea na kijiji) 1000/= halmashauri ya Kinondoni...
  20. baraka bb

    NAUZA KIWANJA

    Nauza kiwanja kipo Ghoba mpakan (Tegeta "A") ukubwa n 20 urefu, upana16 kipo eneo zuri uduma za kijamii kama maji umeme vimefka. bei n Tsh 3,000,000/= million tatu contact 0712846799
Back
Top Bottom