Search results

  1. kaseva

    Nahitaji gari kali sana fasta nina milioni 7 nipo Kibaha

    Iwe gari kati ya Rav 4 new model old au Haria new model au tupia gari lolote ambalo unataka kusukuma upate hela ya fasta Liwe namba D njoo PM NB: Madalali please msiniwekee maneno yenu ya zeengwe maana ninyi ndo mwajua sana kupandisha Bei za magari Mara mbili, hapa nimewaandikia wenye magari...
  2. kaseva

    Hivi viranja mliokuwa mnawakamata wachelewaji mnafanya kazi gani sasahivi?

    Ehee ebu tuambieni mpo sekta gani sasa hivi?
  3. kaseva

    Ninamzimikia kinoma Salama Jabir, natafuta mshenga humu, nichagulieni nimtume kwao moja kwa moja

    Ebu chekini picha za mtoto alivyo mkali kinoma!!! Sijui nimtume naaani????
  4. kaseva

    Aisee majibu ya kwanza kwanza ya nyuzi zinazowekwagwa humu lazima ucheke

    Majibu ya kwanza kwanza ya nyuzi mbalimbali za humu Lazima utoke mbavu kwa kucheka, ukiwa na hasira unaweza piga mtu kwa utakalojibiwa
  5. kaseva

    Nataka kununua printer ya kupigia kazi kubwa sana budget yangu ni 80000p

    Wakuu ninataka kutoa karatasi za rangi 50000 ( matangazo ya biashara yangu) So nimeanda 800000 naweza pata printer gani jiwe?
  6. kaseva

    Tetesi: Kuna mtu aliyetumbuliwa cheti kajinyonga na kumwachia ujumbe magufuli mwenye habari zaidi tafadhali

    Wakuu leo nimepata habari ya mwalimu aliyesimamishwa kazi kajinyonga na kumwachia ujumbe Rais magufuli kuwa hakuwa na jinsi? Mwenye news zaidi tafadhali atujuze
  7. kaseva

    Tunawaalika kwenye ufunguzi wa kiwanda chetu kikubwa

    Mwenye namba ya waziri wa biashara anisaidie nimwalike jamani Tuweke tanzania ya viwanda mbele Hapa kazi tuuu
  8. kaseva

    Mzungu kafaidi ya duniani weusi tutafaidi mbinguni

    Wazungu wanaishi kitajiri maisha yasiyo na stress , wengi wao hawawazi njaa na shida ndogo ndogo, wazungu wanadharau hii rangi nyeusi vibaya sana. Weusi , njaa na sisi, shida na sisi ila wengi wa wafrika tunamjua mungu Vitabu vya mungu vinaonya kuhusu matajiri kuingia mbinguni So Mzungu kafaidi...
  9. kaseva

    Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

    Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike. Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
  10. kaseva

    Je wajua? Chanzo kipya cha mapato katika awamu hii? Majanga

    Majanga ni chanzo kipya kabisa cha mapato Tanzania kwa sasa Rejea ajali Arusha na zilikopelekwa fedha za Rambirambi Vyanzo vingine vilivyobuniwa kwa ustadi 2. Tochi za barabarani 3. 4. 5.
  11. kaseva

    Sijui nipo mwenyewee, sijawahi sikia sauti ya mzee Bakhiresa

    Najua walau mzee Regnald mengi akiongea, Mo, na matajiri kadhaa Huyuu mzee wetu ni bubu?
  12. kaseva

    4WD imeandikwa kioo cha kujitazamia cha dereva cha IST, na gari haina 4WD, nini maana yake hii?

    Wakuu nini maana ya hicho kijapani na 4wd iliyoandikwa hapo?
  13. kaseva

    Mapambo msibani Arusha ml.9, na majeneza yamegharimu mil. 8, uongozi unaoacha alama

    Pamoja nayo msiba mzima uligharimu takribani karibia ml.200 ambazo zilitokana na michango ya wasamaria wema. "Uongozi unaoacha alama"
  14. kaseva

    Aina nyingine ya vyeti feki: waliorudia darasa la saba na jina la aliyeacha shule

    Wakuu kuna hawa waliorudiaga darasa la saba baada ya wao kufeli kwa nafasi yao, na baada ya kurudia wakapewa nafasi za waliacha shule , Hawa nao ni vyeti feeki?? Au elimu ya msingi haiesabiwi?
  15. kaseva

    Kuna watu wengi sana weupe mdomoni,wasiojua kujenga hoja katika maongezi yoyote but ni matajiri

    Hii kitu imekaaje ndugu zangu? Nimewahi ona matajiri kadhaa, weupe sana kwenye mazungumzo. Mtu mweupeee mdomoni ukimsikiliza, Ila ana majumbaa, maviwanja Magari tena malori na magari kutembelea, tena v8 n.k Na haonyeshi kama ni mshirikina. Anaonekana mtulivu na muda wote anawaza mambo yake...
  16. kaseva

    Jirani yangu ana kidonda kisochopona mwaka wa 6 sasa, watu wanakiita eti (Donda ndugu)

    Nini maana yake hii? Najiuliza Kalogwa? Ni mchafuko wa damu? Na kinaponaje hiki kidonda? Nini chanzo chake, maana jamaa anatoa harufu mbaaaya mwaka wa sita sasa.
  17. kaseva

    Wanaotafuta wachumba humu baada ya kuwakosa live ikute mlishaolewa kitambo

    Kwa wale wanaosumbuka sana kutafuta wachumba unaweza kuta mlisha olewa kitambu. Ni muda wa kumuomba Mungu afute ndoa za awali, Kutubu,na kuvunja yote ya kale ili uanze upya, upewe ndoa mpya.
Back
Top Bottom