Search results

  1. O

    Biashara ya kokoto

    Process, -Uwe na kitalu cha madini ya kokoto -Uwe na leseni ya uchimbaji madini, kwa wewe unatakiwa uwe na PML, Primary Mining License -Uwe na leseni ya ukaguzi wa mazingira, NEMC -Osha -Leseni ya biashara Asante
  2. O

    Ni dhahiri sipendwi maana vituko vimezidi, nawezaje kumsahau?

    Watu wanaongea vitu havijawakuta, ni kipindi kigumu sana
  3. O

    Msaada: Nina huruma kupita kiasi, siwezi hata kuchinja kuku

    Ila wewe si mkuria, tena jembe na juzi nimekuona ukihojiwa kuhusu tigo fiesta pande za Musoma
  4. O

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Sio lazima uende Temeke, maduka mengi ya dawa asilia zipo. Mimi nipo nje ya dar ila napata kirahisi
  5. O

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Inatibu magonjwa mengi sana, mojawapo ni hilo. Utarudisha mrejesho hapa, ni tamu tamu kama asali
  6. O

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Mkuu kuna dawa ya kiasili nikutumie namba ukaitafute, imenisaidia kwa kiasi mimi, ujitahidi utimize chupa saba. Inapatikana Temeke huko, 0712715253
  7. O

    NAOMBA KUULIZA JAMAN.

    Bongo movie
  8. O

    Wewe unakabiliana vipi na Hali hii

    [QUOTNinanyix, post: 22693072, member: 199534"]Hivi hali ilivyo ngumu hv unaweza kaa ukawaza mahaba full time.. Bila pepo la pesa kukupitia ukagundua account yako ukichomeka kadi kwenye ATM hata haishtuki Sent using Jamii Forums mobile app Mkuu jina lako linafanana kidogo na langu, lako Lina...
  9. O

    Accacia na barrick waliwahi kufukuzwa Zambia na Chile kwa uhujumu uchumi, unyanyasaji wafanyakazi

    Sasa ukinijua inakusaidia nini. Mimi ni kweli najulikana, Ila sijatetea Ila nimekuambia kuhusu Zambia umeandika uongo ndio nimekuambia. Mimi ni engineer na huo mgodi kuna kipindi nilitaka enda kufanya kazi mipango haikutimia. Kuhusu nchi zingine sijui ndio maana sijaelezea. Acha mawazo mgando
  10. O

    Accacia na barrick waliwahi kufukuzwa Zambia na Chile kwa uhujumu uchumi, unyanyasaji wafanyakazi

    We jamaa muongo Sana. Barrick imeingia Zambia juzi Tu, tena Kwa kununua project na mgodi huo inaitwa Lumwana, na umefunguliwa 2011. Acha majungu ambayo mengine sio ukweli.
  11. O

    Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

    mimi natafuta partner/mteja wa manganese
  12. O

    Nchi imepinda,inahitaji kunyooshwa.

    Imepindia upande upi
  13. O

    Je, Kwanini Acacia?: GGM wanapeleka wapi Mchanga wao?

    Sio kwamba hatuwezi, tunaweza, sema hapo mwanzo hatukulifikiria hili, tukaingia moja kwa moja. Ilitakiwa hili lifanyike kabla ya mgodi kuanzishwa, sema inaonekana ni wachache waliokuwa wanalifahamu hili.
Back
Top Bottom