Search results

  1. Jomse

    Happy anniversary to us

    Hapana sikuweza kuchepuka kwani mume wangu ndio kila kitu.
  2. Jomse

    Happy anniversary to us

    Asante sana
  3. Jomse

    Happy anniversary to us

    Asante Heaven Sent
  4. Jomse

    Happy anniversary to us

    Ameen mpendwa
  5. Jomse

    Happy anniversary to us

    Ninachukua fursa hii kumshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha leo tarehe 19/8 tumetimiza miaka 15 ya ndoa yetu. Tumebarikiwa kupata watoto 5. Tumepitia misukosuko na dhoruba nyingi sana lakin ni jambo la kumshukuru Mungu mpaka leo bado tupo pamoja. Katika miaka hii kumi na tano nimejifunza kuwa...
  6. Jomse

    Happy birthday Roulette! Mwaaaah

    Happy birthday Roulette .Nakutakia maisha marefu
  7. Jomse

    Mafuta mazuri ya kuifanya ngozi iwe soft

    Nenda maryrose cosmetics watakupa ushauri mzuri sana.S H amons sikushauri,watakupa mengi ambayo utatumia gharama kubwa na wala usifanikiwe
  8. Jomse

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    Sio kweli mnawaonea majirani zangu,hizi ni simulizi zilizokuwepo tangu zamani lakini hazina ukweli wowote,wanoongoza kwa kuwauwa wanaume wanajulikana.zile nyumba za kariakoo zinamilikiwa na wanawake ambao ni kabila gani?
  9. Jomse

    Tanzia

    Pole sana jamani.Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
  10. Jomse

    Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

    Pole sana kwa wafiwa
  11. Jomse

    happy birthday Mayassa wangu

    Happy birth day Mayasa.
  12. Jomse

    Birth day yangu ni 09.12.2011 natimiza miaka 50

    Hongera sana.kila la heri
  13. Jomse

    Happy Birthday Nguruvi3..

    Happy birthday Nguruvi3
  14. Jomse

    Siku yangu ya Kuzaliwa!

    Kila la heri katika siku yako ya kuzaliwa
  15. Jomse

    Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

    Chuoni pale Hall 7
  16. Jomse

    Happy birthday - dena amsi

    Happy birthday Dena.
  17. Jomse

    Nawaomba mniombee msamaha kwa mke wangu!

    Na utataabika mpaka basi,nyie ndio wale msiojua thamani ya uliyenaye mpaka atakapokuwa mbali nawe au atakapokwenda kwa mwingine. Ulichezea shilingi chooni sasa cjui kama utaipata tena.
  18. Jomse

    Picha. . . .

    Picha zilichanwa na barua zilichomwa moto(enzi hizo hakukuwa na mobile phones ).zile zilizofaa kurudishw3a zilirudishwa kwa mwenyewe.
  19. Jomse

    J3-JPili, tar1-31, Jan-Dec yuko ndani tu; utaacha kumegewa? Badilikeni jamani

    Mimi h/girl namchukulia kama mtoto wangu na mara nyingi wengi ni wadogo na akili zao hazijakomaa,hiyo habari sihiruhusu kwani wanangu wa kuwazaa sitawaruhusu.Ninachofanya ni kuwataadharisha na mapenzi kabla ya wakati na nimewaambia wawe huru kuniambia iwapo watalazimishwa na mwanaume.Na vijana...
  20. Jomse

    Happy Birthday Lizzy...Licious

    Happy b.day ,nakutakia maisha marefu
Back
Top Bottom