Search results

  1. MONISA

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    @ Gurtu. Mie natumai mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya Tanzania si kwa ajili ya kumpata Dr. Slaa. Kama hivyo ndivyo unavyofikiri basi jielimishe zaidi. Katiba mpya ni kwa maslahi ya watanzaania wote na si Chama cha Siasa. Usalama unaousema hapo ni upi????? Tunajua Dr. Slaa alikuwa...
  2. MONISA

    Waziri Tibaijuka awafutia vigogo hati za ardhi

    baba akikuzaa ukakuta anamali je! Uungwana wa mtoto ni kupora mali yake?
  3. MONISA

    Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

    Vyema ameweka mambo wazi.
  4. MONISA

    Dr. Slaa amsimamisha kazi Katibu wa CHADEMA Nzega

    Jile79. Huwezi mfananisha JK na Slaa. Mmemfanya Mzee wa Watu awajengee Chama kwa ahadi ya pipi na kuwafukuza kazi wadogo. Zitto aliyewazidi nguvu Bungeni mmemshindwa hata kumpa onyo. Kweli hicho c Chama cha Demokrasia ila CHAUMA - Chama Cha UBABE na Maendeleo.
  5. MONISA

    Dr. Slaa amsimamisha kazi Katibu wa CHADEMA Nzega

    Dr. Unaonea Samaki wadogo. Toa ZITTO tuone ubavu wako
  6. MONISA

    Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

    Kwanini mnawasemea?? Vyema wajitokeze wenyewe! Msitegemee hadithi ya fisi kudhani Mkono utaanguka.
  7. MONISA

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    TUME DHARAULIWA KIASI CHA KUTOSHA! TUMENYANYASWA KIASI CHA KUTOSHA! TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA! ila sasa basi. Nakumbuka ENZI za Biashara ya UTUMWA na hawa hawa WAARABu na leo KATUSHIKA PABAYA.
  8. MONISA

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    Pongezi ni jambo jema lakini kejeli ni uhuni ndg.
  9. MONISA

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Ujue anamtangaza hata kama hamtaki. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
  10. MONISA

    CHADEMA acheni usharobaro

    :A S crown-1: Umekuwa Mfalme?? Hayo ni mawazo ya mtu vyema kuvumiliana. Kwa chama kikubwa kama CDM jambo la kutoka nje sio sahihi. Imekuwa tabia yao. Tumewatuma kusimamia Serikali na Kutunga sheria na si kuonyeshana mbwembwe.
  11. MONISA

    TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

    Hilo tumeliona. Sawa!!!! Tusubiri la Chama Chenyewe.
  12. MONISA

    How to use JamiiForums effectively

    Hi! wana Jamii. Nawasalimia.
Back
Top Bottom