Search results

  1. MC7

    Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

    Amen.Ubarikiwe sana!
  2. MC7

    Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

    Uongozi sio Mashindano ya ulimbwende, tuheshimu hizo nafasi za uteuzi. Jane yupo vizuri sana, anaishi maisha halisi na anatendea vema nafasi yake ya uongozi. Nampongeza sana. Ni bahati mbaya tuu ametenguliwa lakini kitu cha kuzingatia ni kuwa yupo natural sana. Zaidi sio kila mtu ni...
  3. MC7

    TANAPA, je wanaozima moto Mlima Kilimanjaro mnawajali au mnawapuuza?

    Katika ule mkataba wa ununuzi wa vifaa vya jeshi la zimamoto ambao ulisitishwa/unachunguzwa, Mojawapo ya vifaa vilivyoorodheshwa ni Drones maalum za uzimaji moto. Nadhani hapa ndipo palipohitajika hizo drones kufanya tathmini ya uharibifu na kufanya zoezi la uzimaji kuwa rahisi zaidi. Pia...
  4. MC7

    Niuzie RunX/Allex/Premio bajeti 7mil

    Title inasema niuzie.maelezo yanasema nitalipia.wap hujaelewa zaidi. Nahitaaji,karibu sana kama unalo mojawapo kati ya hizo gari.
  5. MC7

    Niuzie RunX/Allex/Premio bajeti 7mil

    Karibu 0738439308
  6. MC7

    Niuzie RunX/Allex/Premio bajeti 7mil

    Nahitaji gari kwa ajili yangu kati ya Runx/Premio au Allex namba C au D. Bajeti yangu ni 7mil. Rangi yoyote isipokua nyeupe. naweza kuilipia hata Sasa baada ya kuikagua na kukubaliana. Nipgie au watsp No 0738439308. Nipo Dar es Salaam.
  7. MC7

    Hivi kwanini waendesha pikipiki mara nyingi hugeuka kuwa magenge ya uhalifu?

    Wakiendesha wanakanyagia visigino afu wananing'iniza ndala kwa vidole.au wengne wanakanyaga ile guard ya Fekon hapo mbele hivi...hahaha
  8. MC7

    Hivi kwanini waendesha pikipiki mara nyingi hugeuka kuwa magenge ya uhalifu?

    Panda tuu muhimu mpe maelekezo kuwa huna haraka na safari na afuate sheria. Mie nakwazika boda akiovertake gari mbili zilizo kwny mwendo kwa pamoja haswa ikiwa moja ya gari hizo ni Lori au basi kubwa afu yeye anapita katikati.
  9. MC7

    Hivi kwanini waendesha pikipiki mara nyingi hugeuka kuwa magenge ya uhalifu?

    Ni makosa lakini jazba imeanzia hapo kwny kuburuza boda kutoka Zebra moja mpaka kukaribia zebra ya pili ya kituo. Yawezekana Mwendokasi aliona ana haki zaidi hivyo kutosimamisha gari kwa haraka au gari lilipata tatzo la kiufundi ghafla. Manzese pamestaarabika,kwa tukio lile uharibifu wa gari...
  10. MC7

    Hivi kwanini waendesha pikipiki mara nyingi hugeuka kuwa magenge ya uhalifu?

    Sio kwamba Alikua anavuka kwenye zebra ya upande mmoja wa kituo(Tiptop_Manzese),mwendokasi ikawagonga kwenye hiyo zebra? Ilisimama baada ya kumaliza zaidi ya nusu ya urefu wa kituo cha mwendokasi kutoka hiyo zebra/eneo la ajali. Kosa la boda ni Kupandisha mshikaki na kuvuka zebra akiwa...
  11. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Upo sahihi kabisa.kila kheri
  12. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Mafuta sio kizingiti kabisa.labda ziwepo sababu nyingine.
  13. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Ahsante kwa kunipa Moyo. Ikifka january katikati ndio ntabadili matumizi ya hiyo pesa lakini kwa sasa 8.5mil ipo Kabatini.sina haraka nalo kiongozi. mpaka sasa kuna mmoja kagota 9.5mil namba DL...
  14. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    ahsante sana kiongozi Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo.
  15. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Ahsante kwa ushauri. 8.5mil ipo na uzuri sina haraka na gari.naweza kununua aina nyingine ikinibidi.kwa sasa nahitaji iyo Athlete. kama unayo,karibu whatsp
  16. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Mafuta sio shida kiongozi.nmejiandaa kwa hilo
  17. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Eti!!!naongeza kdg 8.5mil Btw mie ndo nanunua kwa ajili yangu.
  18. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Gari ikiwepo naweza ongeza kidogo.
  19. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Najaribu bahati yangu Kaka.dau likizidi kidogo sio mbaya,karibu sana....
  20. MC7

    Niuzie Crown Athlete 7.8mil

    Nahitaji Crown Athlete namba D ya kuanzia mwaka 2005. Pesa ya kununua/kulipia ninayo. Bajeti yangu ni Tzs milioni 7.8.muda wowote wasiliana nami Whatsap 0738439308... Au nitumie ujumbe a.k.a niPm
Back
Top Bottom