Search results

  1. C

    Msaada juu ya kufanya nywele za mwanaume ziwe nyeusi na zenye afya

    nasikia KY nayo ni nzuri ila kwa sasa imepigwa marufuku
  2. C

    Sasa ni Dhahiri: Bandari yakumbwa na Uhaba wa Mizigo

    poleni sana wale vijana na wasichana mliozoea kunywa heinken, windhoek na savanah, sasa hamieni kwenye mwanmke nyonga (safari lager ndogo) au ukawa/lowasa (pilisner lager)
  3. C

    Msaada: Kupiga hii nyumba rangi upya inaweza kunigharimu kiasi gani?

    tatizo ninaloliona kwenye hiyo nyumba unaweza piga rangi ya bei ghali lakini ikachufuka kwa kipindi kifupi nakushauri upotezee tu
  4. C

    Nguvu iliyopo katika kichwa

    ......ndiyo maana siku zote kichwa ndicho hutangulia kuingia au kutoka....
  5. C

    Mwanaume jiulize, huyo dada unayemchezea unataka aende wapi?

    najiuliza sana kwani wakati akipigwa hizo picha hakujua?
  6. C

    Badili mkao wa kitanda chumbani

    mshana JR, naomba uni pm tuongee kikubwa zaidi
  7. C

    Wee Ufoo Saro, Mwageni ni Professor sio Bwana

    ukizingatia hii ni awamu ya maprofesa na madoctor, sarah kuwa makini
  8. C

    Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

    huwezi linganisha utajiri wa kutafuta tangia ukiwa mdogo na kwa kutumia akili na utajiri wa mandondocha na kutoa makafara ya kuua ndugu
  9. C

    Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

    genius ni mtu anayefanya mambo zaidi ya expectations bila kuwa na elimu ya darasani mfano yule aliyekoza 20 years
  10. C

    Looking for gentleman

    niloikuwa na mpango wa kutafuta mchumba humu JF lakini kwa sasa nimesitisha hadi 2020 au 2025
  11. C

    Wakurugenzi tulioachwa kwenye uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli

    thanx God, natamani ifike muda mtu akipewa cheo alie kwa uchungu maana no future tena
  12. C

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    hivi ni namba gani ngumu sana kuisoma au kuitamka?
  13. C

    Kwanini vitu vingi vilivyopo angani ni vya duara?

    Mfano rahisi angalia kila kiungo cha binadamu kinafafanana na duara kuanzia mapu.. hadi papu..
  14. C

    DAR: Gari yatumbukia katika mto Msewe Ubungo

    ni riroba vya mchana vimesababisha au stress za hapa kazi tu
  15. C

    Mrembo akifanya yake.

    uzuri wa hiyo ligi ukiwa mfungaji mzuri wa mabao unapewa kila kitu maana usajili wa wachezaji kwenye hiyo timu ni mgumu sana
  16. C

    Nawararua rarua

    nawararua-rarua (rwaaaa!!), nawararua (eheeee!!)
  17. C

    TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

    mbona sioni hapo kati vizuri?
  18. C

    Vodacom mtandao usiomjali mteja

    tatizo makampuni yaliiga .....hapa kazi tu..... bila kujiandaa kwani yalikuwa yameshazoea michepuko ya kodi
  19. C

    Watanzania tumezidi kulalamika - Zambia zaidi ya Magufuli

    hivi lengo ni kubana au kuwafanya wenye nchi waishi maisha mezuri? nadhani tunatakiwa tuishi kama malaika tofauti na tulivyokuwa tunaishi kama mashetani. big up baba j.
  20. C

    Nahitaji hv viatu kwaajili ya wifienu, wapi nitapata

    viatu vyake kwa nyuma vimekaa vizuri kweli
Back
Top Bottom