Search results

  1. ZEE BABA

    Ipo siku CHADEMA watalazimisha kuingia kambi ya Jeshi au Ikulu

    ila polepole alivyoenda na kamera palikuwa sio gerezani ni hadharani....
  2. ZEE BABA

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Ameandika Dotto Bulendu Unakumbuka kupindi kile? 1.Wafanyabiashara wanauawa,jeshi la Polisi linatoa taarifa ya Kuwa walikuwa Ni majambazi,Gazeti linaingia kazini na kusema "Waliouawa siyo majambazi bali wafanyabiashara wa madini" .Hakika zamani ilikuwa raha. 2.Anatekwa Kiongozi wa madaktari...
  3. ZEE BABA

    Ijue siku ya Ijumaa ya tarehe 13 (Friday the 13th)

    Ninachojua Yesu alikuwa na wanafunzi 12 LABDA KAMA KUMI NA TATU NI PAMOJA NA YESU MWENYEWE
  4. ZEE BABA

    Mbowe, CHADEMA acheni propaganda jibuni hoja za wananchi wa Hai

    NCHI INAWAGONJWA WENGI HII NDUGU..HAHAHAHAHAHAH
  5. ZEE BABA

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia...
  6. ZEE BABA

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    KATIKA HALI YA KAWAIDA WATOTO HUWA WANASIDE NA MAMA HILI LIPO WAZI,kama kulikuwa na TALAKA maana yake ni kuwa MALI ILIGAWANYWA...Mzee Mengi sio mjinga aliiona mgogoro uliopo lakini sababu ameshazaa watoto wawili,ilibidi awalinde na mama yao pia kwa KUANDAA WOSIA
  7. ZEE BABA

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Ninachoamini pia ni kuwa MENGI alijua kabisa kuwa mapacha wake watapata tabu pindi akifa,alijua aina ya ndugu na familia aliyonayo lakin kubwa alijua mgogoro alioutengeneza baada ya kuamua kumuoa J...Naamini mahakama itasema WOSIA UNAUHALALI GANI
  8. ZEE BABA

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Numbisa, Nafikiri pia hujasoma sawa sawa hayo mahojiano...umesahau kuwa hakuna sehemu amesema anataka MALI YOTE,PIA UMESAHAU KUWA WOSIA HAKUANDIKA YEYE.LAKINI KUBWA KATIKA MAELEZO YAKE AMEELEZA MARA NYINGI AU AMERUDIA MARA NYINGI KUELEZA KUWA NDUGU PIA WAMSAFISHE MENGI YAANI WASIMSEMEE MABAYA...
  9. ZEE BABA

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Nimesoma COMMENT ZA watu...ila sisi binadamu tunaroho za KUTU TENA KUTU HASWAAAA ,BI dada hakuwa side chick hilo lieleweke ,Bi dada hakumtongoza MENGI hilo pia lieleweke HAWA WALIKUWA WANANDOA. Tunasahau kuwa Bi dada anawatoto na MENGI HIVYO IMEKUWA KWETU KUAMINI TU KUWA BI DADA AMEAMUA...
  10. ZEE BABA

    Ni wapi mtoto atapata elimu bora zaidi ya Tanzania katika nchi ya Kenya?

    Kenya unafata English Medium ? jwhat is English Medium ? come on English medium zipo bongo chungu mbovu na walimu ni hao wa Kenya na waganda ,,,Tuzungumzie mtaala wa Elimu sio Medium of instruction ya elimu....jamani tusichanganye mambo hapa,karne hii unampeleka mtoto Kenya kufuata English...
  11. ZEE BABA

    Ni wapi mtoto atapata elimu bora zaidi ya Tanzania katika nchi ya Kenya?

    Zipo shule nzuri Tanzania na kwa umri wa mtoto sio vyema akaenda kusoma nje katika umri huo...bahati mbaya sana watanzania wengi hatujui kutofautisha mitaala inayotolewa shule zilizopo TZ. WENGI TUNAWAPELEKA WATOTO ENGLISH MEDIUM TUNASEMA WAPO INTERNATIONAL SCHOOL. Ipo hivi: watu wanafanya...
  12. ZEE BABA

    Kanuni mpya za usajili wa laini za simu: Masuala muhimu ya kujua

    nusuhela, Aiseee umeongea point, mfano nina laini nne tayari kwa matumizi yangu binafsi,lakni nahitaji pia kuwa na laini ya NYUMBANI ili niweze kuwasiliana na wanaobaki nyumbani, yaani hapa naona kama hizi sheria zipo kwa malengo mahususi na sio kusaidia watu
  13. ZEE BABA

    Je, tuna Watu Jeuri (Kauzu) kama akina Nancy Pelosi katika Serikali (Tawala) zetu za Afrika hii ya sasa?

    GENTAMYCINE, yule mama hatari sana ,,,yaani anachana hotuba bila kuvunga ....
  14. ZEE BABA

    Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    umeona eee yaani just imagine Mtu anasema simple tu tumuachie Mungu,,,,na ndiyo maana hata tuhuma alizopewa BASHITE tunaziona za kawaida yaani mtu anatuhumiwa kwa kudhulumu haki ya watu ya kuishi haki ya kuishi...leo Bashite na wapambe wake wanatanua barabarani na maofisini huku kuna watu wapo...
  15. ZEE BABA

    Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Ungemshauri arudi ili auwawe mumzike sio?huo ndiyo ushauri unaompa mtu ambaye serikali inatuhumiwa kumdhuru?
  16. ZEE BABA

    Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Kuna watu wanambeza Lissu,wakitoa hoja kuwa Lissu angerudi nyumbani badala ya kubaki huko aliko,,,wengine wanataka Lissu akae kimya tu na aendelee na maisha. Watanzania huwa hatuna sana mguso na mambo yanayohusu haki zetu,mara nyingi sana haki zetu tunazipuuzia kwa hiyo si ajabu kuona watu...
  17. ZEE BABA

    Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

    utabaki hivyo maana bila maadili ,utakuta siku dada yako na kaka yako wanapigana miti,utakuta siku baba na mtoto wanalovelove,eeee bila maadili hakuna anayeweza kutoa heshima...so we should not risk kisa bangi...tunamazao mangapi ya biashara tumeshindwa kuyatafutia masoko,yees tumeshindwa, leo...
  18. ZEE BABA

    Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

    Ukisikiliza hotuba za waliochangia mjadala huu wa BANGI huko Bungeni utaona wamejikita zaidi kwenya masuala ya uchumi,wanaposema bangi imepanda bei maana akili zao zimejikita kwenye pesa hawakumbuki tena maadili, lakini pia wanazungumzia kuhusu tiba iliyogunduliwa na wazungu ikihusisha bangi...
Back
Top Bottom