Search results

  1. Kasimba G

    Kigugumizi cha CHADEMA juu ya akina Halima Mdee kinatokana na nini? Sikilizeni Rufaa na mtoe uamuzi wa mwisho

    Kwahiyo kwa upeo wako chama kikifukuza mwanachama bunge linasubiri rufaa ikatwe ndio limsimamishe/mbunge? is it a special case for CHADEMA au ni vyama vyote? Je katiba inasemaje kuhusu Hilo, je aliyeacha chama kama Mwambe, Lijualikali na wengine bunge lilikuwa sahihi kuwarudisha watu waliojitoa...
  2. Kasimba G

    Bandari walizokataa wachina zisiendelezwe, tayari zimeshaendelezwa na kupanuliwa

    Bwanamkubwa miaka imeenda Bado wewe ni yuleyule!! Kwani umewahi kusoma mradi wenyewe? Maana aim ya mradi ni usafirishaji wa mizigo ya viwanda EPZA ya bagamoyo
  3. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli umetutia sana Moyo vijana wako kwenye suala la ajira

    Umeandika mnoo ila umeshindwa kuainisha "uongo" dhahili, mwenzio kasema kuwa miaka hiyo mitano katengeneza ajira milioni sita!!! Na sasa anajifikilia kutengeneza milioni nane! Au hukumsikia au hukuelewa?
  4. Kasimba G

    UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

    Wanalo si waandike nireteee gwajimaaaaaaaaaaaa!!
  5. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

    Wiki Tatu zilzopita walisema wana wanachama 13m kabla ya hapo miezi miwili iliyopita walisema wana wanachama 10m na Jana wanasema wana wanachama 20m! Wamechanganyikiwa hawajui Hata wanaropoka nini!
  6. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Acha kubishana na makula kulala Mkuu unapoteza muda, pia wapo mavyoo vikuu ma-oppotunists!! Hawajui maisha
  7. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Wewe akili yako unaijua mwenyewe na si mchunguzi, unajua 2015 ulikuwa 10m against 2m aliyeshinda? Ukondoo ulisababisha bwanayule asitangazwe, ukikoma ukondoo mshindi halali atatangazwa hata Kwa viboko!!
  8. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Hujaiona video clip ya Madilu? Analalamika kuwa watapambana, huwa unapambana na mbabe au marehemu?
  9. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Matokeo ndio tegemeo pekee la CCM, wanahisi kwakuwa katiba ni mbovu watatangazwa japo wanajua huwa hawashindi, sasa ukondoo ndio husababisha mshindwa kutangazwa, ukondoo ukidhibitiwa mshindi halali atatangazwa Kwa namna yeyote
  10. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Usichojua ni kwamba 2015 CHADEMA Walikuwa na wanachama miloni nane na sasa wanao zaidi ya milioni kumi na Tatu, itakuwa wamekufa kabisa eeh? Samahani wanaCHEDEMA tunatoa siri hawa watu huwa wanaudhi malanyingine!!
  11. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Unafikili hiyo hajui? Ndio wahusika wenyewe hao wanatungiwa sheria kandamizi wanatoa macho na kushangilia, likimgusa ndio anagundua
  12. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Hata hiyo kambi ya kijani kuna makundi mawili, wahutu (Rohombaya) na wa kawaida (wenye tuu) amini usiamini wenye utu hawawezi kumpa kura muhutu yeyote
  13. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Unanunua mmoja unawaudhi elfu moja!
  14. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Wana jamvi wasalaam, Huku mtaani kwetu ile hoja maarufu iliyodumu takribani miaka mitatu ya kuwa upinzani especially CHADEMA imekufa imejifia na wapambe wa hoja hiyo wameingia hofu. CCM wanajua sana kula na vipofu, kwa muono wangu nahisi waliitangaza hoja wakijua bwana Fulani hupenda kuskia...
  15. Kasimba G

    Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya katika siasa ya Bongo

    Kaandika uongo na wewe hutumii ubongo Hata kidogo? ENL aliondoka Kwa hasira na alirudi Kwa vitisho, huyo mwandishi ni conspiracy theories zisizo na akili. Unawaamini CCM wana thinktank mujarabu, Hata T-shirt wanaiga CHADEMA? Ningemuelewa angeongelea tume na Vyombo vya dola lakini si vinginevyo...
  16. Kasimba G

    Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Na wewe unavyoendaga misibani kwani unaenda kutafuta wachumba?
  17. Kasimba G

    Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Mkuu Hata wewe unaingizwa Chaka na MATAGIO?
  18. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wana jamvi wasalaam! Kumekuwepo na utitiri wa "wana CCM" kutia nia kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi huu ujao wa 2020. Tafakuli fikirishi ya hao "wana CCM" JE ni kweli wako serious au wala lao jambo? Baada ya Uchaguzi wa 2015 kila mtu alishuhudia kilichotokea, baada ya bwana mkubwa...
  19. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

    Changes usually happens in a blink of an eye! Don't give up we never know what is gonna happen tomorrow!!
  20. Kasimba G

    Uchaguzi 2020 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo

    Sio kweli, Hata wana CCM wengi huwa hawawapigii wenzao. Isingekuwa hivyo ungeona mwakahuu kungekuwa na uchaguzi lakini it is obvious kutakuwa na "mchaguzi" sio uchaguzi.
Back
Top Bottom