Search results

  1. Malunkwi

    Gym ya Mazoezi maeneo ya Kibamba Dsm

    Salaam wadau, Kwa wale wadau wa mazoezi naomba kufahamu Kama kuna mtu anajua Gym (Fitness Center) iliyopo maeneo ya Kibamba Dsm, kwa yeyote mwenye kujua ilipo naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kufika tafadhali. Natanguliza shukrani
  2. Malunkwi

    Ushauri kuhusu magari

    Wadau, nataka kuagiza gari nimeingia kwenye mtandao nimeipenda Corola Spacio, sasa nimepata gari 2 ambazo kwa muonekano wa nje ni kama zinafanana, bei na mileage pia hazitofautiani sana. Tofauti ipo kwenye CC moja ina CC1800 4WD ya 2003 na nyingine ni 2WD ina CC1500 ya 2004 nataka kujua...
  3. Malunkwi

    Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    Nimeshitushwa na maneno ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa alipokua akiwahutubia wananchi wa Iringa kuwa Mabomba ya gesi inayochimbwa Mtwara yanaelekezwa Ulaya badala ya kuelekezwa kwa wananchi wa Mtwara. Ameeleza hayo bila kufafanua ukweli wa jambo hilo. Source: ITV HABARI
  4. Malunkwi

    Waraka mpya wa Serikali - Tafsiri yangu

    Serikali imetoa waraka kwa watumishi wa umma unaotoa maelekezo kwa watumishi kuwa wana hiari ya kuchagua kujiunga na vyama vya wafanyakazi. Mfano CWT sio lazima wanachama wake wawe ni walimu, mtumishi wa kada yoyote anaweza kujiunga na chama chochote. Pia waraka huo umeeleza kuwa ni hiari kwa...
  5. Malunkwi

    Mtoto wa Mchungaji akitoa ushuhuda

    Mtoto wa mchungaji katoa ushuhuda kanisani Haleluyaaa!!! Nashukuru mungu kwa kuniponya,nilikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu sehemu za siri kila mwezi lakini tangu nimeanza kwenda kwa mwalimu wa sunday schooll usiku ni mwezi wa 3 ugonjwa umepona Watu: aaaaa!!(Mimba hiyoooo)
  6. Malunkwi

    Kuungama noma!!

    Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama... Alianza hivi...... "Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..." Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu..." Muumini: "Mchungaji nimezini na wanawake wengi sana hapa kanisani...." Mchungaji: "Usihofu...
  7. Malunkwi

    Mlevi kaenda Kanisani

    Mlevi mmoja alikuwa akilewa sana pombe hadi kusahau kwenda Kanisani siku za ibada Jumapili. Jana Jumamosi pia alilewa sana, lakini aliweza kuamka leo asubuhi na kuamua kwenda Kanisani huku akiwa na kiporo cha pombe kichwani, hali iliyomfanya awe anasinzia Kanisani tokea misa ilipoanza...
  8. Malunkwi

    Maswali ambayo utayasikia tena na tena maishani

    1. Mdada anaingia kwenye daladala na viatu vimechongoka anakukanyaga, halafu anakuuliza ‘Samahani umeumia?’ 2. Kwenye msiba utakuta watu wanalia,’Kwanini kafa yeye? Jamani kwanini kafa yeye? 3. Mtu anaingia kwenye mgahawa halafu anamuuliza weita,’Biriani yenu nzuri?’ 4. Shangazi yako...
  9. Malunkwi

    Sister Du Kaona Kajamba

    Wadau wacha nijaribu kuwaondolea stress cheki hii....................... "kuna mwanamke aliingia duka la dhahabu,kuna pete ikamvutia akainama kuitizama vizuri bahati mbaya akajamba,akaangalia je hamna mtu aliyesikia?kamkuta mwenye duka yuko karibu yake akataka kupotezea,akamuuliza hii pete bei...
  10. Malunkwi

    Vyombo vya habari kuweni makini mnapowaita watu kuja kutoa ufafanuzi wa jambo fulani

    Hiva majuzi kulikuwa na kipindi kilichorushwa katika ktuo cha televisheni cha Clouds kilichohusu Ukweli kuhusu Freemasons, kwa kifupi wageni waalikwa ktk kipindi kile hakuna chochote walichofafanua wakaeleweka zaidi ya kububuja maneno tu na inavyoonekana ni kama waganga wa kienyeji wamekwenda...
  11. Malunkwi

    MUUNGANO - Ulizaliwa kwa tishio, utakufa kwa tishio

    NDUGU zetu Wakiristo wanapofanya ibada za kuzika wafu, huwa wana msemo mmoja usemao, “ulitoka kwa udongo, utarudi tena kuwa udongo, udongo kwa udongo, na Mungu atakufufua siku ya mwisho”. Maneno haya husemwa wakati padri au mchungaji anamwaga udongo au mchanga mara tatu ndani ya kaburi. Ni...
  12. Malunkwi

    Dawa ya Uzee

    dah! Kali ya mwaka,bibi alienda kwamganga na ilikuwa hivi. bibi:munguwana mishida yangu naitaji dawa yakuni fanya niwe shapu kwakila jambo kama enzi za ujana mganga:bibi dawayako hai itaji malipo niutayari2 kutoka kwako hatafimbo utaacha kutumia na utakuwa mwana riadha waukwel...
  13. Malunkwi

    Ya Badwel hayana tofauti na ya Jairo, Azan acha kuwahadaa waTZ

    Baada ya Mbunge wa Bahi(CCM) kupandishwa kizimbani kwa kosa la kuomba rushwa ya Tsh8ml kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkuranga, Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa Bw.Iddi Azan alizungumza kwa niaba ya Kamati kuwa swala la rushwa kwa mbunge huyo ambaye pia ni mjumbe...
  14. Malunkwi

    Sekretarieti ya Ajira na Database

    Kwa wale waliofanya written interview ya Nationa Audit Office Sept 2011 waliambiwa kuwa Sekretariet iliamua kuita watu wengi ili iwaweke kwenye Database wale watakaofanya vizuri na litakapotokea hitaji la Auditors & Accountants(Wakaguzi/Wahasibu) serikalini bac watakua wakiitwa wale waliowekwa...
  15. Malunkwi

    Mwalimu wa stadi za kazi

    Mwalimu (wa primary) aliingia darasani;mara baada ya salamu,akawapa wanafunzi wake zoezi, na kuwaambia; "kila mmoja achukue kalamu na karatasi na amchore Tembo", kila mwanafunzi alitingwa na zoezi hilo. Baada ya kumaliza, akaanza kupitia dawati moja baada ya lingine;kwa tahayari,akamkuta...
  16. Malunkwi

    Katoa Uroda Bure

    John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani. kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa...
  17. Malunkwi

    Natafuta Screen ya Laptop

    natafuta screen mpya ya Laptop Dell N4020 contact 0787791900/0717791900
Back
Top Bottom