Search results

  1. mokoloko

    Msaada tutani

    Kwenu wataalam na wadau wa kilimo huu ni mche wa pilipili hoho nimeujaribu kuchunguza shambani nikaona miche mitano iko zaifu baada ya kuing'oa nikakutana na hali hii je ninaweza kutumia dawa zipi kuutibu, na je tatizo hili linasababishwa na nini?,,.
  2. mokoloko

    Wataalam wa kilimo msaada wenu tafadhali

    Hizi pilipili mbuzi zinatatizo gani? Kwani kila nikienda kwenye maduka ya kilimo naambulia kununua madawa tu lakini mmea hauna dalili yeyote ile ya kupona dawa nilizo tumia ni super vory, ridomil gold kwa vipindi tofauti so titizo ni nn? Na ninawezaje kuliondoa, shukrani Sent using Jamii Forums...
  3. mokoloko

    Second selection

    Kama hizo post hazitolewi semeni watu wafanye mambo mengine kiliko kukaa kusubiri mambo ambayo hatuna uhakika Nayo....
Back
Top Bottom