Search results

  1. Vladmir Putin

    Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

    Huu uzi ungekuja nao mapema kabla ya uchaguzi .. ingesaidia sana. . pia unavyoongea unaonekana umebase upande flani .. ila unajaribu kushow uko neutral
  2. Vladmir Putin

    Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Ni kamanda huyo .. wanajeshi wanapigana vita ili waishi kupigana siku ingine .. hujui
  3. Vladmir Putin

    Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

    Fanya finishing mkuu.. mwisho wa siku utakuwa na Nyumba yako inaonekana safi .. hata ukapangisha au kadhalika.
  4. Vladmir Putin

    Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV

    Ndugu yangu paschal ulikuwa vizuri sana … siku hizi nini kimetokea… Makala zako ziko down sana nowadays
  5. Vladmir Putin

    Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

    Tafuta kuku wa kisasa kwe bei ya 5000-5500 .anza kuuza kuku wa kukaanga kwanzia robo kuendelea kwa siku ukianza hata na idadi ya kuku tano mpaka kumi ..utaweza fanikiwa .zaidi .. hapo utaweza pia uza shingo,miguu n.k.. utapata mpaka 10000 kwa kila kuku ..
  6. Vladmir Putin

    Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

    2020 Mbali … sana .. siku moja ni miaka kwenye siasa ..mwaka mmoja utakuwaje ...ngumu kusema .. mda utasema !
  7. Vladmir Putin

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Peoples Power ...Our Power ! (PPP)
  8. Vladmir Putin

    Kangi Lugola: Ni marufuku kuanzisha mijadala juu ya kutekwa kwa Billionea Mo Dewji

    Kazi ikinishinda inabidi ..ili kuikoa isife na njaa au kadhia yoyote … ikibidi ndio
  9. Vladmir Putin

    Kauli ya Lugola kuhusu watanzania wasiende kufanya kazi nchi za nje na akili ya Mwafrika chini ya Jangwa na Sahara

    Habari wana jamvi … naona waziri hajakurupuka yupo sahihi … na ndio anaonyesha makucha halisi ya tawala yetu … kawaida hata kabla hajatamka haya … kupata passport kwa mtanzania wa kawaida ni kitu kigumu sana!! .. wengine wenu humu mnaweza kuwa mashahidi ! mtazamo wangu binafsi ni kwamba ...
  10. Vladmir Putin

    Naomba Mawazo ya Biashara,,,

    sawa kaka ...mimi naishi hapa dar maeneo ya bunju
  11. Vladmir Putin

    Naomba Mawazo ya Biashara,,,

    Nina laki tano , ila sijui nifanye biashara gani niweze kuizungusha .. Naombeni mawazo yenu wanajammvi ... Nashukuru
  12. Vladmir Putin

    Mhadhiri UDSM: Rais Magufuli, Tanzania sio kampuni yako binafsi

    Hoja zake unaweza kutupa majibu au ufafanuzi kiasi!
  13. Vladmir Putin

    Angalia Majirani Zetu

    Wale wa buku saba njooni muone .
Back
Top Bottom