Search results

  1. M

    Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

    unajua kuyapanga maneno mkuu. ukweli upo wazi na sio kulaumiwa mtu bali kuwajibika. tutaendelea kuficha ukweli ktk nchi hii mpaka mambo yatalipuka. niwakati sasa mambo yanaendelea yanayo waumiza wananchi lakini watawala wanaangalia kama vile tamthilia. wakati umefika wa kusema ukweli ndio...
  2. M

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    ninaposoma ujumbe kama huu mkuu, naamini Watanzania wengi bado wanahitaji ukombozi wafikira wakuwatoa kufikria vyama na kuelekea maslahi ya nchi. Ila MUNGU ni mwema atawakomboa.
  3. M

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    kwanini isiwe ni kuonyesha ukweli watukio. Mtazamo wa wazi hasa kuonesha unavutia upande fulani ndo haswa unaloangamiza taifa letu na ndio hasa mateso ya wananchi yanayosababishwa na viongozi waliopewa macho lakini hawaoni.
  4. M

    Lusinde: Tuondoe picha za wanyama kwenye fedha za Tanzania...

    mkuu, mawazo unayotoa yananipawasiwasi nawe kama umesikiliza au umeanza vituko maeneo haya. SLAA unamhusisha vipi na mawazo ya Lusinde?
  5. M

    Wabunge wa CCM waonyesha umbumbubu bungeni. Hawajui maana ya IMPOTENCY

    ahsante mkuu kwa ufafanuzi. hata mie nilishtuka sana. kumbe kingereza ni janga la taifa.
  6. M

    Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?

    kwa mtazamo huo, wa alama ya CHADEMA, ukiifananisha na manati sishangai huenda unauzoefu zaidi na matumizi ya manati ukiwaza tu kuwindia, kuliko falisafa inayolenga alama hiyo. kuanagalia alama na mambo kama hayo haitoshi kusema mtu au chama kipo hivo, bali ni kuangalia falsafa wanayoisimamia.
  7. M

    Ufisadi wa kutisha serikalini: Bakwata, masheikh, makanisa, maaskofu - kauli zenu

    tuatakukumbuka CCM ukitutoaka kwa yako uliyoyafanya japo nitaje machache wizi wa rasilimali za nchi yetu. kutupigavirungu tunapodai haki zetu kutuibia kura zetu tunapochagua viongozi wetu kututambulisha kama ombaomba nje ya nchi
  8. M

    Sasa Rais afanye nini - Pinda anamrushia mpira naye hataki kucheza?

    Mie naamini mahali tulipofika sio tena kuangaikia mawaziri maana aliye wachagua anawalinda. Hii inaonyesha wazi kuwa raisi ni mtu wao na madudu wanayoyafanya ni kwa faida yake na familia yake. Raisi hana maslahi na nchi yetu wala na chama chake, sasa huyu ni kiongozi wa aina gaini. Hii...
  9. M

    Udom haina mmliki.

    kimsingi Matatizo ya UDOM ni mengi na inasikitisha kwani yapo wazi, nadhiriki kusema yanasabaishwa na kiburi cha viongozi wakuu wa chuo kwani wanafikiri aliyewaweka anawalinda. swala la majengo yanapendeza kwa monekano wa nje lakini kiukweli majengo mengi yananyufa za kutisha labda tuombe...
  10. M

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    niheri ambaye hajaenda shule kabisa kuliko msomi kutoa mawazo yaliyohasi mbele ya umma. ni bora kama hujui jambo uulize au kunyamaza kabisa kuliko kuzungumuza kitu ambacho huna utalaamu nacho. inasikitisha sana nchi hii linapoibuka jambo watu wanaanza kutafuta majina ya watu bila kutafuta...
  11. M

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    nafikiri hao jamaa usifikiri wataogopa kuonesha nyuso zao maana nimengi yanatendeka na bado wanadunda tu. hivyo bado tunasafari ndefu kwa viongozi wetu kukubali kuwajibika hasa kunapokuwa na matatizo.
  12. M

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    siku hizi watu hawana jipya maana wakishindwa kutatua matatizo ya wananchi utawasikia ''CHADEMA'' ndio tatizo. kama kweli watu wanadai haki zao wanaambiwa wametumwa na chadema ni bora aachiwe CHADEMA maana anajua matatizo ya wananchi.
  13. M

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    hivi hawa wanaoibuka na kusema watu wapigwe wao wamesomea wapi hasa. au ndo watoto wamafisadi wanaotumia hela za masikini na hawaajui matatizo yanayowapata watoto wamaskini huko vyuoni. kimsingi kunawatu inaonyesha akili zao zinamatatizo.
  14. M

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    kiukweli kambi ya upinzani inaonyesha mwelekeo mzuri wa kuikomboa nchi yetu kutoka mikono ya Mafisadi .Wanaofanya kazi nzuri wanasitahili kupongezwa! nakushangaa wewe unayemfahamu LISU kwa kuchunga mbuzi tu, na mambo yake mazuri huyajui. nipe address yako nikuandalie semina elekezi labda utajua...
  15. M

    Sasa ni zamu ya udsm,,

    nikweli wengi waliohitimu UDSM wameonja nini maana ya MGOMO! lakini swala la kujiuliza nini sababu ya migomo hiyo, wengi wasio penda ukweli wanahusisha migomo ya wanafunzi na mambo mengine kama vile siasa. jambo la kukumbukwa baada ya migomo madai yao hutekelezwa. imefika kipindi cha kujiuliza...
  16. M

    Chuo kikuu cha dsm (UDSM) kuna maandamano

    tafadhali futa kauli yako kwamba wanafunzi wakigoma wanafukunzwa na wenzao wanawaacha. MTATIRO hakufukuzwa bali alisimamishwa na amemaliza chuo bila matatizo. swala la Odong lilikuwa na mambo mengine ya kisiasa zaidi ya swala la mgomo hapo UDSM. kama huna uhakia uliza wadau wengine watakupa...
  17. M

    Maandamano live udsm.

    big up wanafunzi mnaotambua haki zenu. hapa bongo bila kukomaa hakuna haki yako. jipangeni vizuri haki zenu mtazipata. historia inaonyesha hakuna posho iliyoongezwa bila wanafunzi kuandamana hivyo kazi kwenu.
Back
Top Bottom