It is possible,since watu wanaoana kwa sababu nyingi,mwingine kwa kuwa kampa mtu mimba,wengine huruma etc,so kuna uwezekano wa kukutana na watu nje wanaoweza kuwa na true love na compatible kuliko wale waliowaoa au kuolewa nao.
matumizi yenu ya internet ni nini?search matumizi ya KY ujue,si kila kitu lazima umwambie swiitii wako,wengine wanajisikia vibaya,ishu hapa ni kutomwambia mpenzi!kama hana jingine nashauri warudiane!
na bado,Mungu akiwa upande wetu hakuna kitu kinachoshindikana watanzania,tusonge mbele kwa kujiamini na kuwaunga mkono wote wanaotuonyesha njia kama Dr Slaa na wengine!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.