Search results

  1. L

    Mliopo Morogoro town nini tofauti ya lodge ya elfu 15, 20, na 30

    Halafu wewe tulikuwa wote hapo, Mimi kea mujibu wa mwaka 2005
  2. L

    Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    Hata mimi nimefikilia hiki kitu, hapo ungempa 500000/= unaachana nae, siku wamekutimua hapo uanze kumsumbua akutafutie kazi
  3. L

    Msaada wa mbegu bora ya mpunga

    Kwa sasa hakuna mbegu inayozidi SARO 5 utadanganywa bure hata mimi nilikuwa nalima hizi za kienyeji naishia gunia 12-18 kwa heka ila mwaka huu SARO 5 imetoa si chini ya gunia 25-28 debe 7 bila kutumia mbolea
  4. L

    Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Nakazia hapa, ningekushauri uje huku rukwa au songwe Ila changamoto upatikanaji wa shamba
  5. L

    Hali ni mbaya, waziri Bashe chukua hatua

    Shangaaa na wewe,yaani mvua zinanyesha wewe uko mjini umechomekea unasubili bei zishuke ili ufaidike thubutu
  6. L

    Yoga au Umughaka?

    Sorry mkuu Mimi nilisoma Ile ya Gabriel zingine nazipataje
  7. L

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    UMUGHAKA MAMBO YAKIWA VIZURI NITAMANI SANA NIKAMSALIMIE GABRIEL WALAU NIKAMPE HATA SABUNI NA MAHITAJI KIDOGO KIDOGO
  8. L

    Msaada: Nimetapeliwa na mtumishi wa Serikali, Halmashauri ya Kilolo, Iringa

    Kama hujapata namba nicheki nikupe namba ya classmate wangu ni mhandisi hapo kilolo anaweza kukusaidia
  9. L

    Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wakati mwingine tujaribu kujifunza,nenda mwambao wa ziwa rukwa anzia kilidai hadi mtowisa ukitunza heka moja isipotoa gunia 20-30 itakuwa maajabu tatizo watu mmeshazoea kupata gunia 5 ukiambiwa habari za gunia 30 unahisi unataka kupigwa
  10. L

    Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

    Huyo GAKI NA NDEGESERA NANI ANAWEZA KUWA JUU ZAIDI
  11. L

    Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

    Betting ngumu sana yaani unakosea hata kuangalia matokeo tu
  12. L

    Wananiwangia nawasikia, niwafanyaje hawa?

    Huko ulikoenda enda mkoani hasa hasa hapo nyumbani kwenu kuna shida endelea kuwa chekea tu watakumaliza,
  13. L

    Angalia kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi toka USA kwenda Ukraine

    Hapo sijaona F-22 AND F-35 RAPIDOR hata B-52 Moja tu
  14. L

    Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    Mkuu naomba kuuliza,documents za ununuzi wa nyumba zinasoma jina la nani?
Back
Top Bottom