Search results

  1. Mwanakili90

    Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kifamilia, kikabila na kikanda!

    Hata wewe unaempinga Tundu lisu ni MSUKUMA PIA. tunaokufahamu hatujapata shida kuwazua maana ni wazi unamtetea mtoto wa Nyumbani
  2. Mwanakili90

    Wakili Wasonga: Nitarudi tena mahakamani kupinga matokeo yaliyompa ushindi Tundu Lissu

    Mawakili tunatakiwa kugomea huu ujinga,na tuhakikishe tunagomea kwenda kwenye pub yake pale dodoma.
  3. Mwanakili90

    Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    Mfanyabiashara mkubwa wa vinywaji kwa jumla pia na rejareja mjini Dodoma ndugu Wense almaarufu Mselia amejipiga risasi kwa kile kinachoaminiwa ni ghadhabu ya shehena yake ya viroba iliyokamatwa na serikali hivyo kumpelekea kuchukua hatua hiyo. Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe...
  4. Mwanakili90

    TRA Dodoma na madalali wenu muache ubabaishaji wenu

    Naamini wabunge wapo dodoma lakini hawaelewi hili swala la wakusanya kodi wao wanachokifanya,ukweli ni kwamba watu hawajakataa kupokea mashine za EFD kama serikali ilivyoelekeza,kinyume chake wamekuwa wanawatumia madalali wa mahakama kufunga milango ya wafanya biashara wa dodoma mjini kwa...
  5. Mwanakili90

    VIDEO: Prof. Lipumba na wafuasi wa CUF wakipata kipigo

    Kuna watu wanatutafutia ban kwa nguvu. Shinda wewe.
  6. Mwanakili90

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    kauli za ambao hawamiliki hata genge huwa zinajionyesha tu.
  7. Mwanakili90

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    Kama haufanyi biashara hautakiwi kuchangia kwa kuonyesha shida za PAYE.
  8. Mwanakili90

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    Sakata la mashine sio jipya ndugu yangu,ni muendelezo wa kudai usawa katika jambo hili, walianza dar,leo dom.
  9. Mwanakili90

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    Kama ilivyotokea kwa wakazi wa dsm jana,wafanyabiashara wa dodoma hawajafungua maduka yao kushinikiza kuachiliwa huru kwa mwenyekiti wao bwana Johnson Minja. Taarifa za ndani zinaeleza mwenyekiti huyo alisafirisha jana kutoka dsm kuja dom kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka ya kushawishi...
  10. Mwanakili90

    Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

    Mangi mie nikazama kwa toto la kirangi,penda mpaka mtoto akawa apindui,ila kisichoridhiki huwa hakiliki hata ukijifanya mjuzi namna gani,alikua akiishi na dada yake,akamaliza form4,akawa anasomea mambo ya mapishi,siku moja akanipigia simu na kunieleza anamimba,nikamwambia haina shida avumilie...
  11. Mwanakili90

    CDA yadaiwa kuwahonga,waandishi,mapolisi na madiwani

    Ndugu yako anaona udhurungi,hawezi kukuelewa.
  12. Mwanakili90

    CDA yadaiwa kuwahonga,waandishi,mapolisi na madiwani

    I will try my best to improve my skills. But what do you mean by using "ur" insteady of your?
  13. Mwanakili90

    CDA yadaiwa kuwahonga,waandishi,mapolisi na madiwani

    Mambo ya udhurungi haya mnayoanza kuyaleta. Ulichojibu hujakiona katika post yangu? Mimi nimeleta taarifa. Wahusika watapeana habari,haya mengine nakuachieni.
  14. Mwanakili90

    CDA yadaiwa kuwahonga,waandishi,mapolisi na madiwani

    Taarifa takukuru wanayo,unafikiri hawafahamu?
  15. Mwanakili90

    CDA yadaiwa kuwahonga,waandishi,mapolisi na madiwani

    Kuna taarifa tena za uhakika kuwa uongozi wa CDA umewaonga watajwa hapo juu viwanja katika maeneo tofauti tofauti ili kuwaziba midomo. Ikumbukwe kuwa CDA imekuwa ikilaumiwa sana juu ya ugawaji wa viwanja uliojaa dhuluma na manyanyaso yasiyo mithilika. Kuna taarifa pia ya kigogo mmoja...
  16. Mwanakili90

    Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Mtoa mada umevurugwa, unataka kuuaminisha umma kuwa,kutolewa kwa shonza cdm ni kukiua chama, uhatari wa shonza unaupima kwa yeye kupokelewa na rais ccm? Mada nyingine ni kuleta uchuro tu humu ndani, nachokiona nikuwa,shonza ataenda kuwa chakula ya wakubwa na kutajwa tajwa kwake kutawafanya...
  17. Mwanakili90

    Tanzanite!Tanzanite!Tanzanite! Tanzanite needed!!!!!!

    Nenda arusha kwa muhindi.
Back
Top Bottom