Search results

  1. G

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Wewe una mtindio wa ubongo. Nakubaliana na aliyesema wewe ni kigogo unataka kutuharibia. Tena ukigogo wako ni wa kulipa fadhila maana nafasi hiyo umehongwa. Kamwambie aliyekuhonga sasa wananchi wameschoshwa naye na nguvu ya umma inaamka wakati wowote. Jamani wana JF na wenzetu waliopata maafa na...
  2. G

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Hapo kaenda kuzuga tu. Akitoka hapo atasema ni ajili na ajali hutokea bahati mbaya pasipo wahusika kutegemea. Na baada ya kauli hizo mtamsikia kwenye ziara zake za kusukuma muda pale anapokuwa hana ziara ya nje ya nchi.
  3. G

    Couples tusidanganyike kuzaa watoto wachache

    Hahahhhhhh, pole zako kama excuse yako ndiyo hiyo. Kusaidia sii lazima ni hiari na willingness ya ya mtu, na kama upo willing kusaidia unaweza kuwasaidia wakiwa huko kwao sii lazima uwabebe uwaweke kwako, na sanasana ukiwabeba na kuwaweka kwako usilaumu watakapo kushukuru kwa majungu yao...
  4. G

    Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

    Tatizo lako una mtindio wa ubongo na hutakia kukubali mapungufu yako. Nenda kafute makamasi kwanza!
Back
Top Bottom