Search results

  1. nyamwingi

    Prof. Kabudi alivyoionya Serikali juu ya nia yake ya kutaka kubadilisha umri wa wasichana kuolewa

    Habar wakuu, Pamoja na ripot ya CAG kutolewa hapo jana ikiwa na vitu vingi vya kustajabisha, nawaomba pia tusisahau mambo mengine muhimu yaliyopo katika nchi yetu kwa sasa. Tumsikilize Prof. Kabudi alivyoionya serikali juu ya nia yake ya kutaka kubadilisha umri wa kuolewa kutoka miaka 14 hadi 18.
  2. nyamwingi

    Infinix smart 6 haikubali kupandisha 4G network

    Habari wakuu, Nimenunua Infinix smart 6 ya 2/64GB pamoja na kujaribu kufanya settings ili ikae 4G Haikubali ,sijajua nifanyeje ingawaje ndani ya Simu inaonekana inayo 4g kubwa zaidi laini zangu zote tigo na halotel ni 4G na hata Simu iliyopita zilikuwa zinashika 4G. Mwenye uwelewa msaada...
  3. nyamwingi

    Wakulima Songea waililia Serikali kwa kupanda Bei ya mbolea -24/02/2022

    Katika utafiti nilioufanya leo hii tar. 24.02.2022 Bei za mbolea zimepanda Mara dufu lakin kwa bahati mbaya serikali hadi sasa ipo kimya huku ikijua wazi kuwa Ruvuma-Songea ndio mikoa inayozalisha kwa wingi zao la mahindi kiasi Cha kuweza kusaidia Tanzania kuwa na akiba ya chakula. Leo Bei za...
  4. nyamwingi

    Namna ya kujua Supplier fake ununuapo Online kama Alibaba

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wanaonunua vitu online hasa Alibaba kwa bahati nzuri hadi leo hii sijawahi kukutana na kuibiwa. Hili nalileta kwenu kwa muda huu nimeona kwenye magroup ya Whatsapp zikipita jumbe nyingi zikitahadharisha wizi uliopo huko China kwa manunuzi ya online. Sasa kabla...
  5. nyamwingi

    Kwa wajuzi wa Tractor za Massey 290 au 385 ipo bora kwa kulimia

    Wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nilikuwa nahitaji kujua uimara wa hizi tractors, spare .nk
  6. nyamwingi

    ULAZIMA WA KUTOA ZAKATUL FITRY KWA WAISLAM

    *KCWW RAM/29 1438* Darasa ya Ramadhani, Jumatatu tarehe 24 Ramadhani 1438, sawa na 19 Juni 2017 WAJIBU WA ZAKA YA FITRI Zakatul-Fitr ni zaka/sadaka ya lazima inayotolewa baada ya ‎kumalizika Ramadhani, na kuingia tarehe mosi, Shawwaal/Mfungo Mosi: ‎mara tu baada ya kuandama mfungo wa...
  7. nyamwingi

    Jicho Pevu: Mohamed Ally yuko wapi?

    Wadau kwa anayejua alipo Mohamed Ally wa KTN?
Back
Top Bottom