Search results

  1. Enyimba

    Dereva wa bodaboda anasumbua kwenye hesabu ya wiki

    Yaani uza hiyo pikipiki au tumia kwa matembezi yako, Usipofanya hivyo hiyo pikipiki utaikosa.
  2. Enyimba

    Duka linauzwa

    Jamani ni bora kuwa kimya kuliko kudharau biadhara ya mwenzio wakati wewe unaishi kwa shemeji yako,au hauna hata biashara ya laki 1. Mali ninayoiona hapo ni zaidi ya 1.3ml Asanteni.
  3. Enyimba

    Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

    Comments zinanivunja mbavu aiseeeee Hahahahahaaaa
  4. Enyimba

    Mashine ya kutengeneza bisi naiuza

    Laki tatu si bei ya mpya kabisa?
  5. Enyimba

    Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

    Unataka kufanya biashara gani na maeneo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Enyimba

    Sera mbovu kwa fao la kujitoa kwa vijana

    Hizi ni Sera kipumbavu sana Kwa kifupi insmfanya Kijana wa kitanzania awe na akili ya kuajiliwa hadi mwaka. Ndo maana Mimi sitaki Kazi ya kuajiliwa ni bora niendelee kuchoma maandazi na kachori Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Enyimba

    Zamaradi ataja ujio wa filamu yake aliyoiandaa kwa Milioni 200

    Ngoja iingie Sokoni tuone ubora wake, Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    Jiko na fridge
  9. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    1.Frige nitakuuzia 300,000/= inagandisha vizuri sana 2.Jiko la gas nitakuuzia 150,000/= 3. Mtungi wa gas 65000/= 4.Meza ya Mable tsh.80,000/= 5.Meza 2 za chuma @1 = 40000/= = tsh....80,000/= 6.Display ya chips 100,000/= 7.Regulator ya mtungi 40,000/= 8.Makalai ya chips yako 2 1...
  10. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    0764464596
  11. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    0764464596 WhatsApp no,
  12. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    Mkuu ninauza vyote kwa ujumla
  13. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    Napatikana kati ya sinza mori na kijitonyma ila siuzi mtungi peke yake nauza vyote kwa ujumla
  14. Enyimba

    Nauza vitu vya jikoni

    Habari za jioni wadau,nauza Frege,jiko kubwa la gas,mtungi wa O-gas 15kg Display ya chips,meza tatu za kucomelea,meza 1 ya mable, jiko kubwa la mkaa,frypan 2 (kubwa na ndogo) Kikaangia cha chapati kikubwa cha kuweka chapati nne kwa wakati mmoja, na sahani. Tuwasiliane 0764464596
  15. Enyimba

    Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

    M-pesa Biashara ya Rest ni pasua kichwa tena achana nayo
  16. Enyimba

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Bora kuajiriwa Now biashara mtaani ni mbaya sana
  17. Enyimba

    Nafasi za KAZI imalaseko super market

    Duh yaani kidogo niende kununua vocha nimpigie
  18. Enyimba

    Nimepata kazi kwa Wachina ila sina amani nayo

    Sasa unataka ukae tu home?
Back
Top Bottom