Search results

  1. AsteryBoy

    Unawezaje kutambua kuwa ni mchawi?

    sio uchawi lakini huo ndugu, Nguvu alizonazo kila mtu wala sio uchawi huo Its free power everyone have, ungefundisha tu namna kila mtu anavyoweza kuzitumia your devil and god dwell within yourself, niwewe kuamua kuwa mwema au mbaya
  2. AsteryBoy

    SOFTWARE Classic And International Adroind And iOS Mobile Application

    ukiwa na swali unaweza uliza tu hapa au ukapiga simu
  3. AsteryBoy

    Hii ni application au?

    watu huwa wanatengeneza tu sina hakika kama kuna app playstore ila, Ila pia unaweza kuona kwa njia ya instagram ukapata account zinazokuwa zinapost hayo mambo
  4. AsteryBoy

    Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    Umeongea uongo ndugu nywele na kucha hazihusiani na uchawi kama hivyo katika uchawi tunatumia nywele au kucha sababu ndio sehemu ya mwili wa mwanadamu ambayo tunaweza kuipata kirahisi pasipo kumuumiza na tunapata dna yake moja kwa moja, ndio maana wakikosa nywele au kucha wanaweza kuiba nguo...
  5. AsteryBoy

    Nape Nnauye: TCRA inaandaa kanuni za kubana matumizi ya mitandao ya kijamii

    Hapo Wameporora Haswaaaa Labda Watengeneze Mitandao Yakwao Wenyewe Binafsi Ndio Wataweza Kwanza Jambo Ambalo Lipo Duniani KOte Wao Wataanza kulidhibitia Wapi? Mfano Mie Nina account 10 Za Gmail Sasa Kama Mimi Watadhibiti Vipiii? Isije Kuwa NI Oparation Chinja Chinja
Back
Top Bottom