Search results

  1. R

    JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

    tusker mmiliki wa kampala university anaitwa Hasani basabajala ni right man wa M7
  2. R

    UVCCM yatoa tamko kuwa imekosa mwelekeo

    Hongera makamu umeongea kwa machungu. rorya tupo pamoja na wewe
  3. R

    Benjamin Mkapa Aids Foundation wanalipaje mishahara?

    Habari wadau, nimeona BMAF wanatafuta Fin manager, naona kua nimequalify ila najishauri maana sina idea wanalipaje mishahara. Je kuna incentives nyingine? Kuna anayejua afunguke. Itasaidia kufanya maamuzi natanguliza shukrani
  4. R

    natafuta housegirl

    habari wadau, natafuta hgirl mwenye umri kati ya miaka 20 hadi 25. Awe wa kulala, mchapakazi mwaminifu.mshahara 50,000. Mawasiliano 0655 583344 Mawasiliano
  5. R

    Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Mkuu mimi nimesona nao wote nzega hilo jina la bashe ni last name Mohammed ni middle name
  6. R

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    msomi akishachanganyikiwa ni bure, afadhali ambaye hajasoma lakini ni timamu
  7. R

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    kuchanganyikiwa alianza mtikila akaja ,mrema sasa imehamia kwa lipumba. tumsubiri na yeye akagombee ubunge tabora
  8. R

    Daktari anamjisi mtoto, amwambukiza Ukimwi

    . I support stoning to death. Lakini saa nyingine watoto wanarubuniwa kwa tamaa ya pesa kama huyo gazetini wanasema siku ya kwanza alipewa buku, then jero then mia 2
  9. R

    Kwa nini hawamtaki gaddafi?

    mkuu mbona mwalimu aliweka misingi bora akawapisha wenzake, matokeo ni madowans, epa badala ya demikrasia
  10. R

    Elections 2010 MBOWE atamuweza HAMAD RASHID?

    mbowe ni kichwa sana na hana njaa ila hamad rashid pamoja na uwezo wake mdogo wa kufikiri njaa pia inayumbisha maamuzi yake
  11. R

    Maisha ukisha staafu kazi serkalini!

    tausi hiyo unaongelea maisha ya nchi za watu kipato gani utakachopata na kuweka fixed deposit ya 4-5% interest alafu iweze kukutunza. hisa ukinunua hazipandi tokea zimefanya IPO
Back
Top Bottom