Search results

  1. sekulu

    Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Sangoma atinga uwanjani, dah ebu cheki hii video hapa chini. Sangoma
  2. sekulu

    Reed_blowz: Msanii kutoka Mayote anaeimba kwa lugha ya Shimaoré, yenye asili ya Kiswahili

    Nimeisikiliza nyimbo ya Huyu jamaa inaitwa TSENA na nilichoshangaa ni kwamba humo ndani kuna Maneno ambayo yanafanana na kiswahili na baada ya uchunguzi wangu mdogo nikagundua jamaa anaongea Lugha inayoitwa Shimaore ambayo asili yake ni lugha ya Kiswahili. Enjoy
  3. sekulu

    Deni la Kenya lakua kutoka KSH 1.8 Trillion kipindi cha Kibaki mpaka KSH 6.7 Trillion mwaka 2020

    Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha. Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo...
  4. sekulu

    Nukuu fupi ya kiongozi aliejiuzulu nafasi zake zote ChADEMA

    Nimesoma barua ya Aliekua Diwani wa Kata ya Kia ndugu YOHANA TIMOTH LAIZER iliyotoka tarehe 2/8/2018, Katika barua hiyo ndugu Laizer amesema "Siwezi kuendelea kua kwenye chama kinachotupa maelekezo ya kutoshirikiana wala kutambua kazi zinazofanywa na serikali" Nakumbuka pia Hata aliekua mbunge...
  5. sekulu

    INAUZWA MPC studio black for sale

    Nina MPC studio Black bado ipo katika hali nzuli sana bei ni 650,000 Kama una pungufu unaongea. Nicheki humu 0768021321 (kwa wenye uhitaji tu)
  6. sekulu

    Vijana wajifunze staha kwa taifa na uongozi wake.

    Vijana wajifunze staha kwa taifa na uongozi wake sio kukurupuka bila hoja mwaka 2014 nilimshusha Joshua Nasary jukwaani aliposema Kikwete asiende Arusha ni nchi ya CHADEMA. Tuna rasilimali chache kuwatetea mahakamani FANYENI KAZI MKIHOJI MHOJI KWA EVIDENCE NA HOJA KUNTU ifike mahali tusiwe watu...
  7. sekulu

    ISACA tanzania Tujitathmini kwa kina Sana

    Watanzania Tumerelax Sana. Jaribu Kuangalia ISACA TANZANIA ISACA KENYA ISACA UGANDA Hivi Hawa jamaa tunaowaita Wezi, Je ni kweli wezi au Maopurtunisty??? Angalia wapigaji na wafanyaji.
  8. sekulu

    Hii tabia ya Polisi Tanzania imenishtua

    Tarehe 16 may nilikua nafanya safar ya kutoka Dar nikiwa naelekea Tunduma Mbeya. Nilikua naendesha gar ya rafiki yangu ambae ni raia wa zambia na tulikubaliana nilisogeze mpaka mpakani yeye atalichukua kwanzia Tunduma. Katika hali isiyokua ya kawaida kwangu nimesimamishwa na askari wa barabarani...
  9. sekulu

    Web Hosting service

    Automate Webhosting | The Leading Webhosting in Tanzania Cheapest
  10. sekulu

    NEW MUSIC Trending Now: District_9 x ms rizzy.

    Dah Sio mbaya nikiwashtua kwamba kuna jiwe jipya kutoka kwa watu wanaojiita district_9, Hii ni ngoma yao ya kwanza mimi kuisikia, imerekodiwa ktk studio za BHitz chini ya usimamizi wa Pancho latino na Hermy B Ngoma ni kali jaman kwa wanaopenda hip hop..... Download it here ---------> :A S...
  11. sekulu

    Sijui watu wanafikiria nini siku hizi! someni baadhi ya majibu ya methali ya Ha

    Nadhan mnakubuka methali ya "Hasira za mkizi......." Ebu someni majibu kwenye kiambatanisho kwenye mail hii!!!! Hatar Sana!
  12. sekulu

    Kumbe wanyama nao wanalewa--- Hatari sana (VIDEO)

    Hawa wanyama walikula Malura bwana yaani ni noma angalia tu hii video
  13. sekulu

    Wananchi wachoma moto nyumba Tarime

    Jamaaa wamechoma moto nyumba za watuhumiwa wa ujambazi. Jamaaa waliochomewa moto nyumba zao inasemekana ni majambazi walio iba duka moja na kuua mpita njia kwa risasi wilaya ya Nyaleo huko ichage Source: ITV
  14. sekulu

    Maji ya Kihonda Morogoro sio salama kwa matumizi ya binadamu. (TBS, wizara ya afya na TFDA)

    Naandika kwa uchungu sana kwani mbali ya kua ndugu yangu analipa billi kubwa sana lakini huduma ya maji hapa morogoro hususan eneo la kihonda ni ya kusikitisha sana. Maji ya eneo hili yanatoa harufu siku zote, na pia huwezi kukuta maji yakiwa masafi hata siku moja. Kuna siku nimeamka na kutaka...
  15. sekulu

    Asante kwa t-shet

    Jamaa inahasira balaa inaonekana haijaona misosi..... Tishet yake imenibama
  16. sekulu

    Madaktari Bingwa nao wagoma

    Sasa ni official hawa jamaa madaktari bingwa wagoma, amesema eet, hawawez kuendelea na kazi kwa kua hawana wasaidizi. Ni hatari sana. Mimi ni Mzalendo bado. SOURCE: ITV
  17. sekulu

    OMBI: Bajeti ya Tanzania iingie kwenye maajabu ya Dunia

    Mimi nilikua nafuatilia kwa makini sana, nikajawa na mawazo ya kijinga mengi sana likiwemo la kuombea bajeti ya nchi yangu iingie kwenye maajabu ya dunia huenda ikasaidia kuinua uchumi! Maajabu mengine ni pamoja na Twiga wanaopanda Ndege!!!! So tujivunie jamani!!!!
  18. sekulu

    How can somebody use BBIS without paying monthly subscription fee of the mobile company?

    For sure, blackberry is nice smart phone, cheap sometimes and easy to use!. When it comes to internet service I hate BBerry because I have to pay 35000 for my phone to be connected to internet. Is there any means I can connect internet to bb without paying monthly fee of mobile company?
  19. sekulu

    Baada ya Kugundua KIIRA EV, wanafunzi wa Makerere Univ waja na Robot

    Ni vema sana kusikia hata kwa kias kidogo Africa Mashariki kuna watu wanaoweza kutengeneza Vitu ambavo hapo Zamani ilikua ni ngumu kusikia vimetengenezwa Africa Mashariki. Wailianza kutengeneza Kiira EV, gari ambayo inatumia umeme, na Sasa wanafunzi wa kitivo Cha Tekinolojia Chuo kikuu cha...
  20. sekulu

    Joh Makini Exposed video!

    Teheheheh Hii ni Kali kuliko hata ya Godzilla http://youtu.be/V5bgOuq9Yvo Angalia mwenyewe!
Back
Top Bottom