Search results

  1. D

    Wakulima wa Korosho wamshukuru Rais Magufuli wauza tani 50,000, Anna Abdalla atoa onyo kwa wanunuzi

    Tani Mh unauhakika ni 50,000MT au 50MT? Kuwa na uhakika vinginevyo utaonekana walewale.
  2. D

    Akili ndogo kuihesabu akili kubwa katika sensa

    Sasa wenye degree watawalipa nini?
  3. D

    Samwel Sitta: Tanzania iko tayari kupambana na aina yoyote ya uchokozi kutoka Malawi!

    Mtampa presha kaka JK. Maana zaidi ya hii migomo mumletee Vita tena?
  4. D

    Mradi wa kukusanya hela za Rushwa kwa CCM kwenye uchaguzi wa 2015 huu hapa, tayari waanza.

    Sasa jamani tufanyaje nini? Au ndio hadi 2015?
  5. D

    Bungeni: Kamati ya kuchunguza tuhuma za rushwa yaundwa

    Hakuna jipya kamati ngapi zimeundwa na hakuna lolote linalotusaidia sisi wananchi?
  6. D

    wabunge wameichoka dodoma

    Ona kwa mfano mnyika hapa:-Niliuliza maswali mawili ya nyongeza; nilihoji ni lini serikali itatekeleza sera husika kwa kuwa upungufu wa ruzuku kwa shule za umma ni kati ya vyanzo vya kuporomoka kwa elimu kutokana na kuathiri uendeshaji wa shule ikiwemo upatikanaji wa vifaa shuleni, na kwa kuwa...
  7. D

    wabunge wameichoka dodoma

    Hata wakienda Bungeni mawazo yao hayasikilizwi zimebakiwa tu ndioo ndioo na hata hao wa ndiooo nao wamechoka hasa kuna umuhimu gani wa bunge? Sheria zenyewe zinazotakiwa kutungwa zinapitishwa kimiujiza bado wakitaka kuisimamia serikali kina Mandege wanaweka ukuta sasa unadhani kuna nini?
  8. D

    Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

    Hii haitoshi nikukubali uwe raisi. Unajitihada kweli na taifa na pia ni kamanda wangu ila ukinyonga wako ndio unaonipa shida kukuamini.
  9. D

    Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

    Hapa hatuna rais jaman. Ina maana kama CT Scan ni $700,000 hatutaweza kununua tena hata moja? Hii CT Scan kwani huwa inatakiwa ikae tu isifanye kazi, kwanza ni za mwaka gani hizo zinazoaribika? Sasa mwisho wake nini kaka JK? Walimu hamna hela ya kuwalipa , CT scan bei kubwa sasa unatuambiaje?
  10. D

    Spika Makinda amzima Ole Sendeka, amwambia huwezi kumshitaki Tundu Lissu

    Ole sendeka si angeita waandishi wa habari?
  11. D

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Huyu ZZK itakuwa anamapepo huyu ya usaliti yanamzingua...
  12. D

    J.K., Laigwenan Lowassa ni mtu muhimu kwako, asikudanganye mtu

    Tokea mgomo wa walimu uanze sijamsiki JK hewani. Samahan jamani hivi tuna Raisi au?
  13. D

    Mambo Mawili Hatari Zaidi kwa CCM

    Hii imekaa vizuri. Nape anasubiri CDM waanze. Nadhani anaombea mungu CDM wasichukue maamuzi yeyote ili na yeye akae kimya maana atasema nini kwa Ole?
  14. D

    Bunge, TRA wote Wezi. Angalia Tunavyoibiwa

    Inapokwenda sasa kila huduma ya Jamii tutaichangia kivyake. Utakuja kusikia huduma ya askari wa doria inakatwa kwa Mwenyekti wa serikali za mitaa mara huduma ya maji kwenye bili za maji, huduma ya umeme kwenye umeme yaani sasa hivi bongo na bunge lake kila kitu ni dili tuu. K.
  15. D

    Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    11,000,000/= + Rushwa + Hongo = ?????. Masikini Tanzania
  16. D

    CCM yaishukia CHADEMA suala la TUHUMA za Rushwa kwa wabunge

    Nape ningekuona unaakili kama ungewataja wewe sasa kama Lissu kawaficha. Acha propaganda kaka.
  17. D

    Hafla imekwisha na sasa ni kikao kimeanza

    Hii siasa ya sasa ishakuwa tabu. Tutasikia mengi mwaka huu. Waiteerrr Leta nyingine hapa.
Back
Top Bottom