Search results

  1. mawazoyangu

    Mwanasheria TAKUKURU Makete Frednand Nsakuzi ashinda kesi CMA

    acha kuharibu taswira ya taasisi hapo unabaki na majuto wewe nsakuzi acha hizo uliapa kulinda siri za ofisi yako yaani watia aibu na kuharibu utu wako ningekuwa nakufahamu ningekuchapa mboko nyambafu!!!
  2. mawazoyangu

    Mwanasheria TAKUKURU Makete Frednand Nsakuzi ashinda kesi CMA

    Hiki chombo kina uonevu sana waliopo ndani wanajua mh.rais angefunga safari Mara moja kwenda kuona na kusikiliza majanga na kero za watumishi wake muundo wake kandamizi mno kwa watumishi wa chini ili hali wa juu wanakula pepo na ndiyo maana wengi wanakimbilia kwenye taasisi binafsi mh. Naomba...
  3. mawazoyangu

    Majina ya wanaotumia cheti kimoja

    Nunua tz daima yapo
  4. mawazoyangu

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Mukulu akisema kitu kinachofuata in utekelezaji tu sasa tulieni ndo maana kasema by 15 may wawe wamejiondoa maana anajua tarehe hizo payroll inakula kichwa automatically watu wapo kibao watajaza nafasi wenye vyeti halali
  5. mawazoyangu

    Kwa madereva wote

    Sasa na kibao cha spidi kakishusha hawaoni kuwa ni uharibifu wa miundo mbinu ya barabara? Hizi njama mbaya sana
  6. mawazoyangu

    Barua ya wazi kwa Mh.rais na Waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania

    Ataelewa tu labda avae miwani ya mbao ndo hataelewa
  7. mawazoyangu

    Barua ya wazi kwa Mh.rais na Waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania

    Waheshimiwa awali ya yote kwanza shikamooni!! Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa uongozi wenu uliotukuka kwa kuiongoza nchi yetu kwa uadilifu na usawa uliotukuka ni pongezi sana kwenu waheshimiwa wangu. Wiki Jana mh waziri mkuu ulizungumzia suala la mapato ya nchi kufuatiliwa na tra...
  8. mawazoyangu

    Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

    Namunyi mvina ugogwe twiwona kukaye inzala isisile!? Weruke kukaye
  9. mawazoyangu

    Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Scania R 520 govi lipo juu na mtoto nyuma ameanza na namba 3 h ton 35 hapo lazima achemke akiachia clutch goma linamzimikia bora aseti tu kwenye auto gear maana kona, milima na miteremko ni balaa
  10. mawazoyangu

    Kama TISS wataamua kuwa wauaji, watekaji na watesaji, kuna kiongozi wa upinzani atasalimika?

    Tiss ndo kila kitu, tunakula na kupata usingizi mnono ndg zangu kwa wale ambao mnakurupuka ndo mjue hii taasisi ndo backbone ya nchi yetu, nawasilisha
  11. mawazoyangu

    Mkurugenzi feki wa TAKUKURU jijini Mwanza atiwa mbaroni

    Ni regional bureau chief/RBC na si mkurugenzi kwa mikoani yaan kamanda wa takukuru mkoa
  12. mawazoyangu

    Mkurugenzi feki wa TAKUKURU jijini Mwanza atiwa mbaroni

    Ni regional bureau chief/RBC na si mkurugenzi kwa mikoani yaan kamanda wa takukuru mkoa
  13. mawazoyangu

    Huu ni ugonjwa gani? msaada tafadhali

    Mi nipo hapa magomeni unaweza nicheki kesho kuanzia 4 ASB 0655 859008 nitakupa maelekezo
  14. mawazoyangu

    Huu ni ugonjwa gani? msaada tafadhali

    upo mwanza sehemu gani nikupe maelekezo nilikukuwa na mtoto mwenye hiyo shida kapona tiba iringa
  15. mawazoyangu

    Huu ni ugonjwa gani? msaada tafadhali

    upo mwanza sehemu gani nikupe maelekezo nilikukuwa na mtoto mwenye hiyo shida kapona tiba iringa
  16. mawazoyangu

    Naomba kujuzwa zilipo break za trekta

    Ktk differential/ diff kuna 2 steel shaft ambazo zinapeleka mwendo kwenye tairi toka kwenye diff
  17. mawazoyangu

    Naomba kujuzwa zilipo break za trekta

    Ina maana tractor linatumia mfumo wa reduction na si excel?
Back
Top Bottom