Search results

  1. SANCTUS ANACLETUS

    Maneno haya Mochwari yanauma sana!

    Pumziko gani la Milele? Nani alikwambia ulifa unapumzika? Mwanadamu ni Roho na sio kiwiliwili. Pumziko ni pale Roho inapopumzika vinginevyo msotp unaendelea tu.
  2. SANCTUS ANACLETUS

    Thamani ya Legacy dhidi ya Pata potea ya 2025

    Hehehe! Sasa mpaka Washauri wanakuwa tatizo yeye hajui kama ni tatizo hapo hujagundua kuwa yeye ndo zigo kqbisa? Unadanganywa halafu hujui kama unadanganywa?
  3. SANCTUS ANACLETUS

    Thamani ya Legacy dhidi ya Pata potea ya 2025

    Unadhani hajui kuwa watu hawampendi? Anajua sana! Sema kuna timu imempa Assurahce kuwa ukishindwa Uchahuzi umependa mwenye wakati watu wa IT na Polisi wa kutimua wanoko wa kulinda Kura wapo na ni yeye anawalipa.
  4. SANCTUS ANACLETUS

    Thamani ya Legacy dhidi ya Pata potea ya 2025

    Mambo ya Uongozi wa Nchi Huitaji Vipanga kichwani. Kwa mambo yanavyoenda imethibitika pasi na shaka kuwa Akili zinazotuongoza kwq sasa zinatosha tu kuongoza Familia na Ukoo. Hata Machawa Wanaomsifia kwa lengo eti la kumtia nguvu ni kupoteza muda tu. Akili haziji kichwani kwa watu...
  5. SANCTUS ANACLETUS

    Nitahamia Zambia na Sio Burundi

    Sipati picha huyo HH angefanya Collabo na JPM Afrika kungalieleweka tu.
  6. SANCTUS ANACLETUS

    Kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi la sensa mabilioni kwa mabilioni

    Kwa hiyo, hapo Mungu ndo ametoa hiyo Mia Tano Elfu unayoiita Laki mitan
  7. SANCTUS ANACLETUS

    Kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi la sensa mabilioni kwa mabilioni

    Mungu yupi huyo? Ukidhulumiwa unamshukuru Mungu kuwa yeye ndo kakudhulumu au kuwa ndo amewaongoza waliokudhulumu?
  8. SANCTUS ANACLETUS

    Kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi la sensa mabilioni kwa mabilioni

    Unaweza kuonyesha hizo pesa alizificha wapi baada ya kufa untimely?
  9. SANCTUS ANACLETUS

    Wizara ya Nishati na Tanesco tuambieni gharama mtakazotumia kuzalisha Megawatt 2000 za Umeme kwenye Ubia na Kampuni ya UAE

    Hawawezi kuweka wazi. Natabiri huyo Muwekezaji kujificha kwenye koti la Serikali. Huo ubia watajikuta Serikali.ndio inatoa Mtaji huku hao Maarabu wakichangia mambo ya kijinga.
  10. SANCTUS ANACLETUS

    Ila baba nae anakaa mbali sana na mama yetu, mbona ma first lady huwa wanakuwa close!?

    Mkuu, nadhani tusirahishe hili suala. Uongozi wa Nchi haufulii mbali mila na desturi Mahalia. Tunao mfano hai. Yesu ambaye alikuwa ni Mungu hakujitenga na Mila na Desturi za Kiyahudi ambazo zilikuwa ni Nzuri. Kwa hapa Tanzania, kuanzia Mwalimu Nyerere mpaka marehemu Magufuli wote walikuwa na...
  11. SANCTUS ANACLETUS

    Ila baba nae anakaa mbali sana na mama yetu, mbona ma first lady huwa wanakuwa close!?

    Hahaha! Huyo mungu mbona miichosho? Anaogopa nini?
  12. SANCTUS ANACLETUS

    KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Sasa tunajiuliza Ni nani mkweli kati ya Kinana na Samia? Mama aliwahi kunukuliwa akiwaeleza wanawake wenzie kuwa yeye sio Raisi wa kuchaguliwa bali wa Katiba na hivi inabidi wanawake wampigie kura uchaguzi ujao ili awe Raisi wa kuchaguliwa na hao ndio watakuwa na Furaha ya kweli. Sasa Kinana Ni...
  13. SANCTUS ANACLETUS

    KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Ndio nilipomsikiliza mtu anayedaiwa eti ndiye mjuzi wa Siasa nikasema kumbe ndiyo maana lichama na Serikali havina maono. Nilitegemea maelezo yake kuhusu hoja ya uraisi wa mama ingalimaliza kabisa mjadala badala yake ndio kwanza ameboronga na kujichanganya.
  14. SANCTUS ANACLETUS

    KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Huo Ushahidi mbona hujawahi kuutoa hadharani? Ni kama hivyo, basi Mwambie Kinana kuwa mama yenu hakupata kuchaguliwa na sio Raisi kwa mjibu wa Katiba kama anavyodai.
  15. SANCTUS ANACLETUS

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Mambo ya kijinga sana. Eti wa-print Fomu moja tu. Sasa kama Mgombea Ni Mmoja ndani ya Chama unatoa Fomu ya nini? Hivi maana ya Fomu Ni nini? Au hatuelewi maana ya Fomu? Hivi Hawa watu walisomea Ujinga?
  16. SANCTUS ANACLETUS

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Itapendeza kama kweli watajitokeza majasiri kama hao. Ni lazima ili huo ujinga wa kupangisha watu Uongozi wa Nchi ukomeshwe watokeze watu majasiri ambao hawaogopi kupoteza maslahi yao.
  17. SANCTUS ANACLETUS

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Hovyo kabisa hao Jamaa. Nchi ina Changamoto ya Bei ya Mafuta na hoja hiyo badala ya kujibiwa maelezo yanayopita Mzingo wa Mashaka wao wanakuja kutueleza mambo ya uchaguzi ambao Ni wa 2025! Hizi Ni Akili au matope?
  18. SANCTUS ANACLETUS

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Mtu kama Shaka au Kinana hawawezi kutoa Kauli Juu ya Uongozi wakaaminika. Kila Mtanzania anajua huyo Kinana marehemu Magufuli alikuwa ameishia naye wapi. Na Shaka tunafahamu Marehemu Magufuli alikuwa amempiga Pini kwa Tuhuma za Rushwa.
  19. SANCTUS ANACLETUS

    KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Unafikiri Kwa kutumia kwato badala ya Misuli ya Kichwa. Mimi nimchukie kwani Ndio kwamba Ni Demu kaniacha? Hebu tuwekee hapa Utafiti wa kuonyesha mama anakubalika hapa Nchini? Hebu tusaidie Toka mama ashike madaraka umeona ameshaonana na Kiongozi gani Duniani Mwenye ushawishi? Nakupa huo mfano...
  20. SANCTUS ANACLETUS

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Hebu Shaka kama kweli anaamini huyo Mamake Ni Kiongozi bora ni kwa nini Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi kachagua kwenda Uganda badala ya Tanzania? Kenya hajaenda kwa sababu wao ni Pro-America kwenye Vita ya Ukraini. Lakini ukiwatoa hao kwa East Africa, Tanzania ndio ilitakiwa ipewe hiyo nafasi...
Back
Top Bottom