Search results

  1. B

    Tume ya ajira na sharti la kuthibitisha vyeti kwa mawakili na mahakimu

    mi sina imani na hiyo tume hata 1% ipo kwa ajili ya kuonea watu tu
  2. B

    Mawaziri Wapishana Kwa Waganga wa Kienyeji

    khe makubwa kumbe uongozi mpaka kwa mganga
  3. B

    Legal Officer- TUWASA

    matapeli sann hao sio mara ya kwanza kutangaza na hutaweza jua imeishia wapi wanatangazaga halafu kimya wanajua wenyewe inaonekana wanatangaza tu ushahidi tayari wana mtu wao
  4. B

    Malecture wa chuo Bwana wanapenda

    malecturer walishashindikana siku nyingi wanapaswa tu kupigiwa vote of no confidence kama wanafunzi watasign ikiwa kama ile ya bunge nayo tutabaki tu mweee tunakodoa macho tutabaki tunamlaumu tu makamba hakusign kumbe mnafiki tu kama wengine
  5. B

    Kesi inayowakabili Mramba Pesambili na Daniel Yona imemalizika?

    kesi ya lema iliyoanza juzi imeisha kesi ya mafisadi kama kina mramba haiishi labda judge atakuwa ameenda likizo nadhan maana haya ni mambo ya kitoto na aibu kwa serikali kwa kutufanya sisi wananchi mambumbumbu tusioelewa kila kinachoendelea
  6. B

    Anguko la January Makamba

    like a father like a son mnafiki tu kama babaake hana lolote mshamba tu anatudanganya kama watoto na hatudanganyiki
  7. B

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    kaka umeona mbali utabiri wako sehemu kubwa utatimia cha ajabu kmbe lulu hajui umri wake ni mpaka vyeti ndo vinajua hii kesi ni danganya ***** tu watatuzugaaa then itaisha hii ndo tz bwanaaaa ina wenyeweee
  8. B

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    ameua tu bila kukusudia kaka kitaalamu inaitwa manslaugher na atakula kifungo cha maisha tu kama kawa
  9. B

    Lulu: Sidanganyiki hadi kwaresma iishe

    ilikuwa nguvu ya soda tu na hapo ndo tujifunze kukeep the promise
  10. B

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    i mimi sijasema shikamoo unaejiita katibu mwenezi hebu weka cv yako ya elimu kwenye hii blog hapo ndo naweza kucoment usije kuta ipo kama ile ya lusinde
  11. B

    William Malecela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

    mmenikumbusha phylosopher mmoja anaitwa plato yeye alisema there are people who are born with silver,gold and copper sasa tabia ya kuendelea kurithishana cheo yaonyesha wazi phylosopher huyu hakukosea aiseeeeeeee
  12. B

    Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

    la ya kumsema lusinde tuhoji kwanza elimu yake maana si jambo la kawaida alilofanya
  13. B

    Ni rahisi Clinton kuwa Rais wa Tz, kuliko CDM kushinda Arumeru!

    safari ya mafisadi kueleke mochwari ndo imeanza hivyo
  14. B

    jamaniii nitapataje mzungu?

    tehe tehe tehe hata mie ugonjwa wangu mdhungu mweeeh
  15. B

    Natafuta mchumba awe Bikira

    kwanza we bikira?kama bikira ndo utafute bikira mwenzio vinginevyo utapata uchina tu
  16. B

    Natafuta mchumba awe Bikira

    kheeee hiyo bikira utaipata kwenye ndoto
Back
Top Bottom