Search results

  1. S

    Aliko mgombea mwenza wa Dr Slaa 2010

    Chadema hawakufanya vile kwa kupenda, Ile ni kutokana na utaratibu wa kawaida uliopa kwa vile tz ni jamuhuri ya muungano rais akitoka upande mmoja basi makamo atoke upoande mwengine. Chadema wao hawana suporter ZNZ ndio wakakosa mwanachama wa chadema alokuwa msomi kutoka ZNZ ili kuchukua hiyo...
  2. S

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Spika ametumia akili kuepuka utovu wa nidhamu
  3. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Naona watanganyika mnajikanyaga tu kuhusu huu muungano kawaza wazanzibar hawautaki nyinyi ndio mnaulazimisha. Kwawale watanganyika wenyeakili wanajua faida waipatayo kktk muungano na jinsi wanavyoikandamiza znz. Ukiona mtanganyika anapiga kelele kuhusu muungana eti unahasara kwa tanganyika basi...
  4. S

    Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    sio marando tu hata hao slaha, mboe n wezake wakpata wkitakacho mtajuta
  5. S

    Ni nini msimamo wa Prof. Shivj juu ya Zanzibar

    kisi umjadili coz anasema ukweli usioupenda.
  6. S

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Poleni sana wagalatia msokuwa na akili, ama kweli mkuki mchungu kwa ngurue kwa binadamu ni mtamu. Mgalatia gani aliwatetea cuf walipohusishwa na uislamu na hao hao ccm?. Mgalatia gani alimtetea kikwete alipoonekana ni mdini ktk awamu yake ya kwaza kabla kupambana na slaa kuwania urais? Kama...
  7. S

    Prof. Safari ajiondoa CUF; Atafakari pa kwenda!

    naona mnapiga kelele tu kana kwamba kuna mtu kawambia tayari amehamia chadema
  8. S

    Prof. Safari ajiondoa CUF; Atafakari pa kwenda!

    tusimsemee tusubikri tuone maamuzi yake kuhusu kujiunga na chadema ama la
Back
Top Bottom