Search results

  1. M

    Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

    Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman...
  2. M

    Nilivunja kimdoli cha kibata kando ya barabara nikapigwa kwenzi

    Sisemi vibaya! Ila hawa ndugu zetu ni wababe sana kwa watembea kwa miguu! Majuzi juzi tu natoka Msimbazi napita kando ya barabara nakumbuka kulikuwa na mdada anauza korosho na karanga, kwa mbele kidogo kulikuwa na mauzo ya kapeti ya mnada! Kumbe lile kapeti kwa mbele bwana kuna jamaa anauza...
  3. M

    Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote. Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
  4. M

    Ipi tiba ya tumbo kuwa kubwa baada ya uzazi?

    Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!🤤
  5. M

    Naomba msaada kwa hili tatizo la chafya kwa mtoto mchanga

    Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku! Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi. Shukrani, nawasilisha.
  6. M

    Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

    Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
  7. M

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  8. M

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
  9. M

    Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani. Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi! Ntatafuta kila sababu...
  10. M

    Miezi 9 imetimia lakini mtoto hajageuka tumboni

    Habari wandugu! Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia. Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la! Nina hofu sana jamani.
  11. M

    #COVID19 Kuna madhara kuchoma chanjo ya Corona mara mbili?

    KUNA MADHARA KUCHOMA CHANJO YA CORONA MARA MBILI..? Wandugu habari za majukumu? naamini tu salama na walio wagonjwa na hofu ya yajayo kma mimi basi mwenye ezi mungu atufanyie wepesi! Mashaka yangu ni upinzani wa hzi chanjo za korona kwa mataifa yenye nguvu! Vipi pale unafanya entry nchi...
  12. M

    Nani mwenye mapenzi ya kweli kwenye hili?

    Habari wapendwa na poleni kwa majukumu. Kuna jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku nimeona si vibaya kusaidiwa kudadavua au kulijadili kwa pamoja bila upendeleo! Kwenye maisha ya mapenzi au pengine maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi sana na bila kujali tunapaswa kupambana nazo...
  13. M

    Kuharibika kwa kiswahili fasaha

    Habari wapendwa natumai wote ni wazima wa afya! nawsalimu kijamhuri ya muungano wa tanzania....! kiukweli sidhani kma naongea jambo geni au lisilojulikana, ila napenda tu kugusia kwa kuona halipungui zaidi ya kuongezeka. Llugha ya kiswahili inamchanganyiko wa lugha kubwa ya biashara ambayo ni...
  14. M

    Msaada: Mdogo wangu akila nyama anatokwa damu puani

    Habari za muda wandugu na poleni kwa majukumu ya kila siku, nikiwa kama ndugu rafiki au jamaa pengine yaweza kuwa msaada kwa ndugu yangu huyu. Matatizo ya kutokwa na damu puani hutokea tu punde amalizapo kula nyama sana sana ya ng"ombe! Hospital amehudhuria mara kadhaa bila mafanikio dawa...
  15. M

    Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

    Habari wapendwa, Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili. Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
  16. M

    Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza tumboni!

    Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
  17. M

    Ulishawahi kufikiria kukiri dhambi kwa uliyofanya kwa kila mmoja kwa kumwambia?

    habari wandugu namshukuru mungu kwa afya njema yenye furaha, naomba ku share mawazo nanyi ikiwa kama sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Mimi naamini kila binadamu ni mkosefu kwa namna yake, na naamini yapo makosa ya kila siku ambayo tunayatenda asilimia kubwa kwa kila binadamu. Natamani sana...
  18. M

    Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  19. M

    Nasumbuliwa na maradhi ya tumbo na tonsils mara kwa mara

    Ndugu zangu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nina mke na mtoto mmoja, naombeni msaada wa kutatua haya maradhi yafuatayo kwa historia fupi hpo chini. Mwaka 2017 nilipata maradhi ya tumbo, niliugua sana! Hospitali vipimo majibu yalikuja sina maradhi yte kuanzia kansa, vidonda vya tumbo na...
Back
Top Bottom