Search results

  1. mbuta likasu

    Cameroon vs Chile live TV1

    Asante mzee
  2. mbuta likasu

    Radio Times FM yatanguliza mbele maslahi ya Taifa, yawakaribisha manguli kusaidia Taifa

    Radio hii sijui inakua au ndio imedumaa,ni ya muda lkn inasikika Dar na pwani ,sidhan km inasikika maeneo zaid ya hayo..
  3. mbuta likasu

    Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

    Mi nawapenda wengi mno ,nandy,chemical,maua sama,ruby ,etc
  4. mbuta likasu

    Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

    Mamy baby na meena ally ,napenda wanavyotangaza na kwa kwichi kwichi..
  5. mbuta likasu

    Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

    Hii picha walipata majanga gani hawa jamaa
  6. mbuta likasu

    Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Km bwana bashite anataka 'kiki
  7. mbuta likasu

    Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

    Bora mc pilipili kuliko steve nyerere ,lkn tuwaache vijana wenzetu wagange ubao..maisha magumu
  8. mbuta likasu

    Watanzania 11 wapandishwa kizimbani kwa ubakaji Afrika Kusini

    Dah! Wanazingua kinoma,tatizo la wabongo wengi wanaoenda nje ni wale school au college drop out ,mbaya zaid unakuta hawana kipaji au ujuzi wowote ..what do u expect?( in dereva wa lorry's voice)
  9. mbuta likasu

    ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

    Hii ngoma kali mno,kwenye gari yangu ndio ngoma kuu..km jana hata foleni sikuinotice kabisaa
  10. mbuta likasu

    Uwanja wa ndege wa DSM(JNIA) washushwa viwango vya ubora kimataifa,Waziri Mbarawa chukua hatua upesi

    Kazana mkuu,uenda wakakupa kiwanja..unatetea uozo uozo ..teuzi za kimagumashi ,zimezaa watu wanafiki sana ndani ya taa,mtu yupo radhi kuumiza wenzake au nchi kwa ujumla ili mradi apate favour..unafiki wenu una mwisho.. Category ilishushwa ,fire tenders tia maji tia maji..sijui unataka...
  11. mbuta likasu

    Watu wa Daladala nisaidieni hapa

    Niuzie tu mm hilo bus nilipeleke mkoani,hapa dar ni shida tupu
  12. mbuta likasu

    Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

    Bora serikali ingekomaa na kukopesha watumishi wake,hawa wenye mabenk wangushusha tu riba..riba ni janga kwa kweli
  13. mbuta likasu

    Uwanja wa ndege wa DSM(JNIA) washushwa viwango vya ubora kimataifa,Waziri Mbarawa chukua hatua upesi

    Povu mubashara..pole kama nawe ni miongoni mwa wale wafilisti wa taa,nendeni mkaungame..udhalimu wa pale ni superb..haya madudu ni kutokana na ubabaishaji sugu..mna workforce ya vijana wazuri tu lkn mnawabania,mnapeana vyeo kwa kujuana,mnawabania kusoma..km wamekutuma waambie huku ni 10 kwa...
  14. mbuta likasu

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Picha ya mwadui wakuu ,natamani kufika huko niojionee
  15. mbuta likasu

    Kukataliwa kwa Mkapa Burundi: Je, ni mwisho wa "ushawishi" wa TZ katika Siasa za Afrika?

    Dah!,alitakiwa akatae nafasi ya ufacilitator mwanzo kabisaaa..
Back
Top Bottom