Search results

  1. M

    Toyota harrier for sale

    Wadau nimeweka picha kwenye hiyo link ya group la car deals hapo juu! Nategemea kusikia kutoka kwenu Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  2. M

    Toyota harrier for sale

    I am getting a hard time uploading the photos. Nimejaribu kuiattach ila hazitokeai. Kwa ambae yuko interested naomba anicheck kwa number ya simu then naweza kutuma picha hata kwa watsapp Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  3. M

    Toyota harrier for sale

    Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  4. M

    Toyota harrier for sale

    Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  5. M

    Toyota harrier for sale

    Wadau nauza toyota harrier 2.4 litres ina odometer ya km 85000 bei ni maelewano. Ina alloy rims na low profile tyres. Iko kwenye excellent condition. If you are interested nitafute kupitia 0758500001 au 0652313131 Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  6. M

    Toyota harrier for sale

    The car is on an excellent condition. Ina odometer ya 80000km, sports wheels na matairi mapya. Price 24mil. Its negotiable. Contact me through 0758500001. Serious buyers only.
  7. M

    Swali: Je,Mac OS inaweza kutumika kwenye nonapple pc?

    Kufanya itafanya kila ki2 kulingana na mashine yako ina specifications gani. Kwenye inpriron 1525 na 1545 ukifuatilia procedures kila ki2 kitafanya kazi kama inavotakiwa. Na applications zote utakazoziingiza zitakua ni za apple. Apple zina nafasi yake huwezi kulinganisha PC ya kawaida na apple...
  8. M

    Coldplay Fan(s)?

    Viva la vida, violet hills, life in technicolor, the escapist, clocks, major minus, etc. Jamaa hawakosei Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  9. M

    Subaru Forester ina matatizo gani?

    Mtu asieifahamu hii gari hawezi kuipenda. Ina handling nzuri, traction control nzuri, torque yake ni kubwa, etc. Spare parts zake ni durable. Ulaji wake wa mafuta ni mzuri usipoivuta. Ila ukiwa unapenda kukimbia na kuifungua turbo kila mara itakupa average ya 8km kwa lita moja. Gharama za spare...
  10. M

    Swali: Je,Mac OS inaweza kutumika kwenye nonapple pc?

    Inawezekana kurun Mac OsX kwenye PC. Nimeshawahi kufanya hivyo na sio mara moja. Nimeshawahi kufanya kwenye laptop aina ya dell inspiron 1525, 1545 na Hp G60. Kwenye dell inspiron 1525 na 1545 inakubali zaidi. Ila issue ni kwamba hii OS ilikua designed kurun kwenye mac kwa hiyo kuna watu...
  11. M

    Wadau kuna mwenye info zozote kuhusu nafasi za kazi za NIDA?

    Wadau kuna mwenye info zozote kuhusu nafasi za kazi za NIDA?
  12. M

    wataalamu wa software na website naombwa kujuzwa

    wrong turn 4 - btjunkie jaribu hiyo link itakusaidia. unahitaji kua na software inayosupport torrents ili uweze kuidownload.
  13. M

    Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

    Kwa kusema ukweli naamini ya kwamba chuo kikuu chochote kilichosajiliwa na TCU kinatoa kiwango bora cha elimu. Ila interview nyingi hasa zile za serikalini zimekua zikipima personality ya wanaosahiliwa kuliko competence ya wasahiliwa. Ninajaribu kusema kuwa, kwa upande wa serikalini, probability...
  14. M

    Nafasi za kazi TIRA

    mdau ulieitwa. ulifanya lini interview?
Back
Top Bottom