Search results

  1. Papushikashi

    Mwita Waitara: Rais Samia Anatosha na Chenji inabaki

    Hivi kumbe kuna bunge???
  2. Papushikashi

    Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Na mara nyingi mtu anayetajataja kitu mara kwa mara kwamba anakichukia huwa ni kinyume chake Nenda hapo Zenji utajua nachomaanisha
  3. Papushikashi

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Nilikuwa na hofu kabla mke hajajifungua lakini pia nilibubujikwa na machozi ya furaha baada ya kumuona mtoto kwa mara ya kwanza. Mungu ni mwema
  4. Papushikashi

    Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Vp hali ya mvua huko?
  5. Papushikashi

    Tafakuri: Tutasalimika na mvua hizi..?

    Dah....hii coment imenichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Papushikashi

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Ubunifu mzuri Jaribu kuongeza za kikatoliki na SDA nitakutafuta Vp nauli ya kuja kuweka ?
  7. Papushikashi

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Unafiki....***** zenu mbona mmewakamata watu majumbani kisa wanapika/kula mchana
  8. Papushikashi

    Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

    Na ndivyo Ukitaka ujue bodaboda wana changamoto barabarani kaa kiti cha mbele cha mwendokasi kama una roho ndogo unahama hiyo siti.....wanakoswa mno kwa kutaka kufosi
  9. Papushikashi

    Wizara ya Mambo ya Ndani itunge sheria kali kuwabana Bodaboda

    Nyie hapana wengi mko makini barabarani
  10. Papushikashi

    Wizara ya Mambo ya Ndani itunge sheria kali kuwabana Bodaboda

    Uko sahihi....ukiwa unavuka hasa kwenye Zebra usitegemee kuona boda anasimama upite....huwa wananyooka tena na matusi juu
  11. Papushikashi

    "Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom