Search results

  1. M

    Mie nilidhani Mbowe tu ndio halipi kodi, kumbe hata Manji

    Nimeshtushwa na taarifa kuwa mfanyabiashara mkubwa na Diwani wa Mbagala CCM na Mwenyekiti wa Klabu bingwa ya soka Tanzania na mmliki wa Quality Group Mh. Yusuf Manji nae halipi kodi. Tunakuomba Diwani Manji hebu lipa hiyo Trilioni 1 unayodaiwa ili nchi ipige hatua kimaendeleo...
  2. M

    NAUMWA NA KICHWA CHA PEMBENI NA KISOGONI NAOMBA USHAURI

    Ndugu zangu naomba ushauri wa matibabu .Nilikuwa naumwa Typhoid nikatumia vidonge 84 Kwa wiki 2.Wakati naendelea Na matibabu nilianza kusikia maumivu ya kichwa upande wa kushoto Na kulia Na nyuma ya kichwa.Ninaomba msaada wenu kwani nimemeza Dawa za maumivu sijapata nafuu
  3. M

    Hivi CCM kwanini inavizuia vyama vya upinzani kufanya mikutano?

    Wapenda demokrasia nimeshangazwa na tabia iliyozushwa na Chama Tawala CCM kupitia Serikali yake ya kuzuia mikutano ya vyama vya Upinzani Nchini. Juzi Katibu Mkuu wa CUF Maalimu Sharif Hamad alizuiliwa kuhudhuria kikao cha ndani huko Mtwara. Lakini Prof. Lipumba alipewa mpaka ulinzi wa Polisi...
  4. M

    USAFI WA JIJI MAGARI MABOVU YASIYOTEMBEA YAONDOLEWE

    Katika kuuweka mji au Jiji la Dar es salaam safi kuna baadhi ya mambo yanatakiwa yashughulikiwe Na mamlaka husika.Kuna suala la Magari mabovu yamepaki mbele ya Nyumba yana miaka mingi hayatembei kutokana na ubovu lakini hayaondolewi.Ni vema mamlaka husika Polisi Na Manispaa husika zikausafisha...
  5. M

    UKIBOKO WA CCM NI KUUA VIWANDA ZAIDI YA 400 ALIVOACHA NYERERE AU 60 VYA USAJILI?

    Hakika mambo mengine yanashangaza sana.MTU kama Lizaboni anafurahia MTU binafsi kusajiri kampuni Blera Na sio kujenga kiwanda .Nilitegemea angekuwa anajiuliza vile Viwanda alivyojenga Shujaa wa Taifa hili viko wapi? Kwanini havifanyi Kazi? Nani kaviua? Viwanda kama UFI, SIGARA Viwanda vya nguo...
  6. M

    Ni taifa gani liliangusha ndege ya Malaysia?

    Wajuzi wa mambo ya anga naomba mtufahamishe kama taifa lililoiangusha ile Ndege ya Malaysia Na kuua abiria wote Na kutokupatikana Kwa mabaki yake iwapo limejulikana.
  7. M

    Kuboronga kwa Taifa Stars, TFF na kumng'ang'ani Mkwassa

    Hakika TFF sidhani kama wana dhamira ya kuinua soka la Tanzania.TFF in kikundi cha watu wababaishaji waliojipanga kushusha soka la Tanzania kuanzia Timu ya Taifa mpaka Vilabu vyetu huku wakipiga Hela za FIFA. TFF pamoja Na kujua kabisa kuwa Kocha mzawa Charles Boniface Mkwassa ameshindwa...
  8. M

    Je kulikuwa na ukweli wa tiba kwenye kikombe cha babu wa Loliondo?

    Watanzania wenzangu nadhani nyote mnakumbuka kilichotokea katika kijiji cha Samunge Loliondo Kwa Mchungaji maarufu Kwa Mwasapila Babu.Mamia Kwa maelefu ya wagonjwa Na wazima walimfuata Mchungaji huyu ili kunywa kikombe cha Dawa. Tulishuhudia watanzania na wasio watanzania, watu wa aina...
  9. M

    Yanga ubingwa wa Tanzania wa nini kama mashindano ya kimataifa huwezi

    Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe...
  10. M

    MGAWO MIL.10 WABUNGE WA CCM BW.OLESENDEKA NA UVCCM KIMYA KAMA HAWAPO

    Jamani nimezoea kumsikia Msemaji wa CCM Bw.Ole Sendeka akiitisha waandishi wa habari kuwaeleza matukio.Vivyo hivyo Na Kwa UVCCM.Safari hii wote kimya kama vile hawapo nchini vipi Ole Sendeka Na UVCCM mbona kimya? Tuiteni waandishi wa habari jamani.
  11. M

    Tunaliomba jeshi letu la polisi liwaonyeshe washukiwa wa uhalifu linapowamata

    Nalipongeza sana Jeshi letu la Polisi Kwa kupambana Na uhalifu Nchini.Naliomba Jeshi letu liwe linawaonyesha Picha zao washukiwa wa Uhalifu pindi linapokuwa limewakamata ili RAIA watakapokuwa wamewaona wanaweza kuwa wanawafahamu Na wana Taarifa za hao waharifu ambazo zitalisaidia Jeshi letu.
  12. M

    Bwana Mwakyembe, hivi ni kweli Taifa haliitaji "Katiba Mpya"?

    Hakika sikutegemea Mwanasheria aliyabobea katika masuala ya Sheria Na Waziri wa Sheria Na Katiba Mh.Mwakyembe angetamka maneno hayo yeye.Mh.Mwakyembe alipaswa kuwa mstari wa mbele kumshauri Mh.Rais umuhimu wa Nchi kuwa Na Katiba Mpya ukizingatia Serikali imetumia mamilioni ya Fedha za Masikini...
  13. M

    Faida na hasara ya kuchagua eneo la kukuzikia baada ya kifo ni zipi?

    Wadau, Naomba tujadili kidogo hii tabia ya wapendwa wetu ambao hutoa tamko kuwa nikifa nizike sehemu fulani. Ninajiuliza hii ina faida yoyote au hasara kwa huyo mpendwa wetu iwapo atazikwa sehemu tofauti na aliyotaka? Kama zipo ni zipi? Je kuna madhara yoyote yatawapata wale waliokaidi tamko...
  14. M

    Wabunge wa CCM wagawana hela za CCM, Je wanachama tutagawiwa lini?

    Nimeshangazwa Na kauli ya katibu wa CCM Bunge akidai eti wabunge waliopewa sh. Mil.10 kila mbunge ni sawa Kwa sababu wamegawana fedha za CCM . Najiuliza kwani CCM ni ya Wabunge peke yao? Je sisi wanachama wa CCM mgao wetu uko wapi? Kauli nyingine zinakera sana hiki chama sio cha wabunge tu ni...
  15. M

    Kesi ya umeya Kinondoni imepangwa kuanza lini?

    Wapenda Haki Na Demokrasia naomba kujua kesi ya kupinga Umeya Manispaa ya Kinondoni imepangwa kusikilizwa lini?
  16. M

    Wanasiasa waliokopa benki na kugoma kulipa, sheria inasemaje?

    Nimeshangazwa sana kuona hata Rais wetu nae anashangaa kuona Mabenki yetu yanafilisika kisa wakopaji ambao ni Wanasiasa wetu wamegoma kulipa. Pamoja na elimu yangu ndogo ya masuala ya mikopo naamini kwamba Mkopaji huweka dhamana pindi anapokopa. Pia Benki husika humfuatilia mkopaji ili aweze...
  17. M

    Kwanini kiwango cha chini cha elimu kwa madiwani na wabunge kisiwe diploma?

    Kiwango cha elimu kinachotakiwa kwa mtumishi wa serikali ni kidato cha 4. Kwa kuwa viongozi wetu ambao ni madiwani na wabunge hufanya kazi zao na watumishi wa Serikali nashauri hata wao wawe na elimu ya kidato cha 4 na kuendelea. Ushaidi upo kuwa kuna baadhi ya madiwani na wabunge hawakumaliza...
  18. M

    DED halmashauri ya Meru awaongoza watendaji kususia kikao

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Leo amewaongoza watendaji kutoka nje ya kikao cha Kamati ya Fedha kwa kisingizio cha eti Madiwani wamechelewa kuingia kwenye kikao, na kudai kuwa Madiwani hao walikuwa kwenye kikao chao. Mkurugenzi huyo amekuwa akihujumu vikao hivyo kwa kisingizio kuwa...
  19. M

    Prof. Lipumba kama Petro, amkana Lowassa

    Imenibidi nipitie Biblia yangu niisome nikumbuke dhambi ya Usaliti. Maandiko matakatifu yaliandika jinsi Petro mwanafunzi wa Yesu alivyobanwa na Wayahudi kama anamjua Yesu lakini kwa kinywa chake alinena "Simjui mtu huyu", wakati ni miongoni mwa wanafunzi wa Yesu. Prof. Lipumba ameshiriki...
  20. M

    UVCCM ACHENI UNAFIKI CCM YENU NI TOFAUTI NA YA WAZIRI?

    Nadhani watanzania tukiwaambia CCM inatukejeli wananchi ndio kama hivyo.UVCCM inajifanya ina uwezo wa kutoa mikopo Kwa wanachuo huku ikijua haina uwezo huo.Rais amekwisha lisemea suala la mikopo .Waziri amekwisha lisemea pia sasa hawa UVCCM wanataka kuleta siasa kwenye suala la mikopo .Ina...
Back
Top Bottom