Search results

  1. M

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

    Hili ni Bomu la kumuondoa ikulu. Ngoja nisikilizie atakavyoondoka.
  2. M

    Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Bora huyo inafanya hayo kwa waghana huyu anafanya hayo kwetu. Haifai. Hivi unataka upanuliwe wapi ndio uridhike?
  3. M

    Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Watakujuaje kuwa umejiunga nao kiukweli? Ila angalia umewahi mmo kjjipendekeza kiasi kwamba tope lote ulilorusha kwa Nana Ado limerudi kwa unayemfagilia. Tukichukua tu theluthi ya maoni yako dhidi ya unayemuombea kura na tuwapa wananchi waamue, huyu unayempigia chapuo anatolewa kwenye...
  4. M

    Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Ukifuatilia sana unaweza kuta ni ukamilishaji tu wa makubaliano ya miaka mingi nyuma. Huwa hawatoi Hapo hapo. Tunachosubiri ni makubaliano mapya ya kutusaidia yatakayoendekea baada ya Mckalister kusimama kidete.
  5. M

    Mchungaji Msigwa asema: Bila kusimamia misingi (principles) vyama vinakosa uhalali wa kuwepo

    Huenda mtazamo wako ndio umeshindwa kujua hilo. Kama katika mahojiano yote hilo tu ndio umeliona.
  6. M

    Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Haswa kwa kila anayetoa kauli ya kupinga kupelekwa kwenye nchi isiyofuata sheria tumuongezee kauli zetu ili asijione yupo peke yake. Prof Safari naye kwanza Maji Warioba na wengine. Dikteta atatoa shingo tu ili jambia lipite
  7. M

    Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Mwanzo wa hesabu ni moja wengine husema ni sifuli. Ndio kaanza hivyo. Rasmi jumuia ya kimataifa imeanza michakato ya kitaratibu na kanuni zao kuwashughulikia wezi wa kura na madikteta. Kimya kingi kinamshindo mkuu. Matokeo ya hiki kilichofanywa na TunduLisu si ya usiku mmoja kama wanavyofanya...
  8. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Mzee Warioba kwanza kukinai ukiukwaji wa taratibu na katiba pia Mzee Msekwa Butiku alianza Zamani. Endeleeni kusifia mambo ya hovyo
  9. M

    Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Kawia ufike. Better late than never. Hamjui hizi semi au ndio kujitoa fahamu tu. Unachotakiwa ni kuiongezea nguvu hii sauti isikike eneo kubwa la nchi hii
  10. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Kwa mtazamo wako ni sawa. Si wote wenye uwezo wa kusoma uelekeo wa jambo. Kuni, mafuta ya petrol kiberiti vyote vipo eneo la tukio hata mlipuaji kaisha fika na kibiriti kipo mikononi na njiti ipo vidoleni. Kinachosubiriwa ni uelekeo wa upepo tu. Siku ikifika nitakuambia.
  11. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Serikali ndio wakosefu na wanahusika kwa kushindwa kufanya uchaguzi mkuu na wa serikali za mitaa. Upinzani unasubiri kuona Je dunia inakemea hili? Jibu ni hakuna. Sasa kilichobaki ni kusubiri muda tu Ukifika utaona hasira zao.
  12. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Muda haujafika tu tupo kama walivyo wengine. Uvumilivu huwa unamwisho. Ngomq ikilia sana hupasuka. CCM walihisi ni salama sasa hivi kila mtu anayomachungu yake watakuja kuungana na wananchi kudai haki
  13. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Sidhani kama hizo ni fikra zako kama ni zako nawe usingesemea wazungu na kuingia kwenye fikra zao. Kwa sifa nilizonazo za kuweka kupelemba mawazo ya watu kwa maoni yao muonekano wao naweza kuwasemea watu. Unaosubiriwa ni muda tu watu waanze kutoa ya moyoni. Upinzani wanasubiri wenzao kutoka CCM...
  14. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Hata mzaha hujibiwa ili aliyeandika ajitambue kuwa amechokianfika ni mzaha na apate mrejesho kuwa watu wanamuona ni mtu wa mzaha.
  15. M

    Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Utakuja kuzikana hizi mizaha unazoandika. Kimya kingi huwa kina mshindi mkuu. Na Mungu yupo na wenye subira kwani huvuta heri. Uonevu unazidi tamalaki nawe unauona usizani utaendelea kuvumiliwa kusubiri wazungu.
  16. M

    Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

    Hayo huwa hawaangalii watu waliochafukwa robo na uonevu. Siku ukiacha kujikomba na akili za kuona uovu zikikurudia utafanya uamuzi. Mie sijakamatwa ikitokea nitafurahi kupata prison graduation. Kwa kuwa wewe ni mwizi au jambazi tapeli ukienda kule utaona shida. Utawala unapata shida sana kwa...
  17. M

    Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

    Nikionacho kwani ni ile hali aisikiayo mtu pale mwenzie asagapo tofali. Huhisi kama meno yanapata shida lakini msagaji yupo na Furaha. Mdude huo mchezo anaupenda hasa pale anapoibainisha bayana uovu wa serikali kuonea wananchi wake. Mdude anaungana na wanasiasa nguli duniani waliofungwa kwa...
  18. M

    Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

    Lisu anajipanga kumhutubia waziri wa mambo ya nje wa marekani Pompeo. Siku hiyo ndio dunia itafahamu kuwa Tanzania haijafanya uchaguzi toka 2015 na viongozi waliopo ni care taker hawana uhalali.
  19. M

    Nimemuelewa Halima Mdee. Amekubali makosa, anataka maridhiano; yuko tayari kujirudi na kurekebisha mambo chamani mwao

    Nafikiri katoa Maelezo mazuri ya kueleweka na kukubali kuwa wamefukuzwa na si wanachama wa chadema. Kauli hii naimithirisha na upepo mkubwa wa kuweza kuinua lilekoti la muapishaji na kumfunika usoni huku likiacha aibu zake wazi. Nafikiri muapishajj achutame tusiendelee kuona mambo yake ni aibu.
Back
Top Bottom