Nianze kwa kusema 'much respect to you all hustlers'. No matter what you're going through.... but you're the future billionaire. Hiyo ni salamu yangu kwenu watafutaji mliojipata, ambao hamjajipata na mnaamini katika kesho.
Uzi huu ni mwendelezo wa nyuzi nne zilizotangulia zikielezea mapambano...
Habari zenu wakuu. Nimewiwa kuwasimilia safari yangu ya mahusiano hatimae kuja kumpata aliyesubiriwa kwa miongo kuwa Mrs A.
Mimi ni aina ya wale vijana wa kiume wanaoamini kwenye kujitafuta kwanza kiuchumi kabla ya kuingia kwenye majukumu ya familia. Ninazo ndoto za kuwa na familia bora, watoto...
Wakuu, hongereni kwa mapambano ya hapa na pale katika kuutafuta mkate wa kila siku, pengine kutengeneza ziada ya kufaa kesho.
Mniwie radhi kwa kuwa niliahidi kila baada ya miezi sita nitakuwa nadondosha mrejesho wa mahali nilipo katika safari yangu kwenye madini. Nikili tu kuwa mambo yamekuwa...
Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka.
Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya...
Hayati Magufuli aliwasema siku anazindua barabara hii. Barabara ya urefu wa km150 ina zaidi ya bams mia mbili kidogo!!
Mhandisi aliyesimamia ujenzi huo hafai. Bams barabarani huwekwa endapo kuna population kubwa ya wakazi kandokando. Ila kwa hii barabara unakuta bams zipo porini ambako hakuna...
Wakubwa kwa wadogo salama?? Poleni na majukumu ya kusaka tonge, panapo majaaliwa tunapata wasaa wa kukutana humu jukwaani na kushirikishana mawili matatu.
Ni kama miezi miwili imepita nimetokea kwenye msara mzito wa kuchukua mke wa mtu (unaweza kurejea post ya nyuma Bachelor mimi nimedakwa na...
Wakuu za majukumu.
Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu.
Basi ni kama mwezi umepita, kuna siku mwanamke mmoja ameolewa, nimemzoea kama shemeji. Nilikutana nae meneo ya baa, alikuwa amejibust kidogo, aliponiona alinifuata na kunikumbatia huku...
Panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan......
Bila kuwachosha ni kuwa tangu nimeianza safari yangu ya kibiashara nimekuwa nikiwashirikisha hatua...
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili....
Mimi ni mwanaume wa miaka 34. Elimu yangu bachelor, nimejiajiri.
Kulingana na majukumu yangu ya kazi imekuwa ni vigumu sana kuwa na mwingiliano wa watu tofauti tofauti. Hivyo kuniwia vigumu kumpata mwenzi wa maisha.
Naamini kulingana na kukua kwa...
Poleni na pilikapilika za kuumalizia mwaka twenty twenty.
Jana nilikuwa kwenye usafili wa basi, kutoka mbeya kwenda mwanza. Ni safari ndefu na inachosha maana ni zaidi ya msaa 18.
Kabla sijaenda kwenye maada husika labda niseme, kuna usumbufu mkubwa mno yanaupata mabasi haya ya mikoani. Ndani...
Wasalaamu MMU! Matumaini yangu mko Poa.
Imekuwa ni tatizo kukutana na mwanamke wife material. Wanawake wengi wameonyesha tabia njema katika kipindi cha uchumba, lakini pindi tu walipoolewa na kuitwa wake lasmi tabia zao halisi ndani ya nyumba zilijitokeza.
Katika kizazi chetu na wakati wetu...
Habari wakulungwaaa!
Huyu mwamba ni mhuni wangu. Kitambo sana tulisoma wote kwenye shule ya upili. Hata advance tulienda pamoja japo yeye alikuwa mchepuo wa art mi sayansi, tuliishi wote bweni moja pale Lumumba three kabla hajaenda kukaa kwenye chamber za ma prefects.
Mwamba alikuwa...
Familia yangu ya hapa jf hi for everybody!!!
Baada ya kumaliza chuo na kujikusanya vijisenti vya bumu, niliamua kuchangamkia fulsa ya kilimo cha WhatsApp kilichokuwa kinavuma kwa kipindi hicho. Nilijiunga kwenye group moja la WhatsApp la jamaa mmoja aliyekuwa anavuma huko insta kama bikira wa...
Wasalaam ndugu zangu wanajf wote!
Siku zote mwanafunzi akifanya vizuri hupongezwa kwa kupigiwa makofi au kupewa zawadi. Vivyo hivyo kwa mwanafunzi akifanya ujinga huadhibiwa kwa viboko ama adhabu nyingine. Hii inaitwa stahiki au malipo ya alichokifanya, yaani ukitenda wema haki yako ni kulipwa...
Ni matumaini yangu wajumbe mko Poa mkivuta upepo mwanana. Ni miaka mitano tangu Serikali dhalimu ya awamu ya tano iingie madarakani.
Pamoja na mambo mazuri ambayo yamefanyika katika awamu hii, yapo mambo ya kijamii ambayo eidha yamebakia palepale au yamerudi nyuma hatua kadhaa.
Mishahara ya...
Hi great thinkers wote. Awali ya yote niwashukuru memba wa jukwaa hili kwa kuendelea kuleta maada moto kuelekea uchaguzi mkuu octoba 2020.
Tumeshuhudia kipindi kigumu mno cha siasa za upinzani. Kama ambavyo watawala wa nchi hii walikuwa wamedhamilia kuupoteza upinzani. Wapo waliofungwa...
Habari GTs wote! Awali ya yote nipende kushare na nyie utata ambao nimeshindwa kufikia mwafaka mimi binafsi. Hii ni kutoka normal life we encounter every day.
Tukio lenyewe lilikuwa hivi, jana nilienda kuuza dhahabu sokoni, nilikuwa nimetenga makundi mawili, let call mzigo x na mzigo y. Mzigo x...
Wasalaam wakuu wa jamii forum. Kipekee kabisa nipende kutoa pole kwa familia ya Hayati Mzee Mkapa na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba mzito na mhimu kwa taifa.
Pamoja na huzuni na majonzi kwa familia na watanzania lakini lazima maisha yaendelee. Leo napenda ku-share nanyi jambo nimeliona...
Habari za mda huu mabilionea wa sasa na wajao. Tumaini langu mnaendelea vema na harakati za kutimiza ndoto zenu.
Ni kama mwezi nilikuja kuomba msaada kwa wajasiliamali wenzangu juu ya biashara ya dhahabu. Nishukuru watu walitoa uzoefu wao, wapo walionitaadhalisha juu ya songombingo zilizopo...
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara.
Natanguliza shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.