Search results

  1. divyesh

    Gharama za nyumba za NHC kwa Ilala,Kariakoo na Posta

    habari yako? kodi inategemea na eneo na ukubwa wa apartment, bei kama alivyo sema uyo jamaa ni Laki 4 mpaka 6,unabidi uende ofisi za nhc na kusema sehemu unayo taka e.g posta then wanakupeleka ukaangalie, lakini mi naona bora unaenda apartment za watu binafisi wengine unanunua kabisa kipande cha...
  2. divyesh

    Kupiga Chafya

    yani we acha mimi ni hivyo hivyo nimemaliza hospitali zote lakini wapi kuna hospitali hapo magomeni nilienda wanashughulika na mambo ya allergy and wanaku hakikishia unapona kbs lkn wapi wanataka ukienda pale ni kazi kununua midawa kwa midawa na masharti ya vyakula, mi ilinianza i think nilivo...
  3. divyesh

    Kurisit na QT ipi bora?

    kama kuristi si unaenda 5 ukipasi, uliendaje 6 moja kwa moja
  4. divyesh

    Kuhusu kununua vitu online nje ya nchi, kuna ushuru?

    oii vp bro? mi naomba unifafanulie zaidi, cuz nataka niwe nanunua vitu online ila sitaki kuingia kichwakichwa,
Back
Top Bottom