Search results

  1. L

    Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

    Naona una bidii... Unatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu... LOL
  2. L

    boflo na preta wametishajeeeeeeeee

    Mandela aka Sura mbaya, frontline dancer wa Twanga...
  3. L

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    n Next to Mwembeni towards Nyasho kuna shule inaitwa Azimio (SDA), next to it kuna Musoma (Muslim) Primary School. Kwa hiyo kwa mji wa Musoma karibu kila dhehebu lilikuwa na shule yake ya msingi.
  4. L

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    TRA kama wanaona Dr. halipi kodi na wanazo data sheria iko wazi, waende mahakamani. Halafu huko ndio wataona kitim tim cha CDM. Na kwa hakika TRA hawawezi kufanya hivyo watabakia kusema sema tu kwenye magazeti yao ya kifisadi...:dance:
  5. L

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Wasomi "my foot" hamuwezi hata kuandika kiswahili kilichonyooka, ambayo ni lugha yenu, seuze "english"...
  6. L

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Go Halima Go... Nothing can stop us now... God speed...
  7. L

    Mhadhiri Bakari Mohammed wa Mzumbe University amjibu JK kisayansi!

    Wewe ndie unaejidhalilisha mkuu. Mhadhiri Bakari ametumia same analogy kama ya Mh. Rais. Kwa hiyo yuko sahihi kwa misingi hiyo.
  8. L

    Nicholas E. Mgaya amjibu JK

    Tamko la TUCTA juu ya hotuba ya Mh. Rais...
  9. L

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    MkamaP, naona wewe huna tofauti yoyote na wale wanaoitwa "Wazee wa DSM" waliokuwa pale Diamond Jubilee. Kwa hiyo siwezi kubishana/kushindana na wewe, period
  10. L

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Mbona kwa Wabunge na wafanyakazi wengine wa serikali kama BOT, TRA, n.k. unawezakana, iweje usiwezekane kwa wengine? Mbunge anapata posho ya kikao kwa siku ambao ni almost sawa na mshahara wa KCC na ananalamika hautoshi. Wa-Tz tusiwe wavivu wa kufikiri. Tanzania yenye neema kwa wote inawezekana...
Back
Top Bottom