Search results

  1. T

    Mikrotik CCR2116-12G-4S+ needed

    Hii router inahitajika. Mwenye nayo ajitokeze.
  2. T

    Waba warigeze uryamana n'umukobwa/ umugore bigezo(utari wabiteguye)?

    Dusangize inkuru yawe, gusa ujye unibuka ko niba byakubaho,hari uko ukwiye kubigendamo. Kenshi,mu isi ya none,byaragaragaye ko hari abantu bakorana imibonano mpuzabitsina n'abantu bataziranye,cg se abo baziranye ariko badafitanye umubano uganisha ku kuba bakorana icyo gikorwa. Ibyambayeho...
  3. T

    Gushakira umuti ikibazo cya transport mu mujyi wa Kigali, bisa nk'inzozi

    Bisi 100 zitwara abagenzi zari zitegerejwe zarahageze Ni Bisi zije nyuma y’uko mu kwezi k’Ukwakira hari herekanywe izindi bisi 20, na zo zahise zitangira gutwara abagenzi mu Mujyi wa Kigali, mu gihe hari hagitegerejwe izindi 100 zagombaga kuzanwa na Leta. Minisiteri y’Ibikorwa Remezo...
  4. T

    Abayobozi mu nzego z'ibanze bashinjwa ruswa mu gukemura ibibazo by'abaturage, mu nzego zo hejuru bati turayirwanya

    Bamwe mu baturage bo mu Murenge wa Muringa ,Akagari ka Muringa , mu karere ka Nyabihu, basenyewe n’ibiza , bavuga ko bamaze imyaka itanu basembera bityo bakaba basaba ubufasha. Bamwe mu bavuganye na Radio/TV1 , bavuga ko bari bafite inzu n’imirima ariko biza kwangizwa n’ibiza bityo kuri ubu...
  5. T

    Kaspersky needed

    Heri ndugu. Kama kuna mtu ana Kaspersky,nahitaji
  6. T

    Canal+ decoder zinapatikana

    Watu 2 wenye uhitaji, zipo decoder mbili mpya. Wahi ujipatie kwa shs elfu 50 tu. Kufanyiwa installation na kifurushi, ni maongezi. Zipo Dar Es Salaam/Tabata-Mwananchi. Zitakuwepo tu ndani ya siku tatu tu.
  7. T

    Fritz!Box 6810 LTE

    Heri wakuu. Mwenye uzowefu na hiyo box, Najaribu kuweka simcard,inaisoma lakini haiwezi kuconnect internet. Tafadhali anaeijua,naomba anijuze shida yaweza kuwa nini
  8. T

    Simu Nokia haisomi mtandao

    Salama mafundi simu. Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
  9. T

    Mwanza-Busweru

    Kwema wana JF. Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali. Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda sasa. Natanguliza shukrani
  10. T

    Naomba msaada wa namna ya kubadili lugha kwenye Panasonic KX-TES824

    Hope wote mu wazima wa afya. Kama kuna mtu anaeelewa huu mtambo, naomba msaada wa kubadili lugha.
  11. T

    Kitengo gani kinashughulika na askari polisi tapeli?

    Ni tumaini langu wote hamjambo. Nina shida na namba ya RPC Mwanza. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia, natanguliza shukrani. Au kama kuna mtu anaelewa, ni kitengo gani cha kushughulikia askari polisi tapeli.
  12. T

    Tatizo la kuanguka ghafla

    Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya. Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada. Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si...
  13. T

    Nazi (Lindi na Mtwara)

    Habari wana JF. Natumaini mu wazima wa afya. Kama kuna mtu anawafahama watu wanaouza nazi mikoa ya kusini, naomba aniunganishe nao tafadhali. Kuna mtu anahitaji kufanya biashara kwa kutoa nazi huko na kusafirisha. Asanteni
  14. T

    Rwanda: Hizi ndizo hatua zinazochukuliwa na serikali kukabiliana na janga la Corona

    Neno Corona, hakika sitakuwa nimekosea nikisema linatawala vinywani mwa wanadamu kwa sasa kuliko maneno mengi tunapoongelea magonjwa ya mlipuko. Hii imetokana na uzito wa maradhi yenyewe, hasa kwa vifo vinavyotokea kila dakika ulimwengu mzima kufuatia mlipuko wa ugonjwa huu. Kuna badhi ya watu...
  15. T

    HP LJ Enterprise MFP m725

    Habari ndugu zanguni. Nina printer tajwa hapo,touchscreen. Inaandika error 49.38.07 Device error. Kama kuna mtu anaeelewa naomba anisaidie kusolve
  16. T

    Unawezaje kudhibiti wizi wa mafuta kwenye magari makubwa?

    Habari zenu Wakuu, ni tumaini langu hamjambo. Napenda nijuzwe, yeyote anayefahamu njia za kudhibiti wizi wa mafuta kwenye magari makubwa, naomba anielekeze inavokuwa. Natanguliza shukrani.
  17. T

    Microsoft Bootstrapper

    Habari wakuu. Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu). Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati mwingine naformat zaidi ya mara moja,na nafanikiwa kuinstall office. Mwanzoni sijawahi kuwa nalo...
  18. T

    Microsoft Bootstrapper

    Habari wakuu. Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu). Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati mwingine naformat zaidi ya mara moja,na nafanikiwa kuinstall office. Mwanzoni sijawahi kuwa nalo...
  19. T

    HP LJ1320 issue

    Heri wanajamvi. Ni tumaini langu mu wazima wa afya. Nahitaji msaada. Nina mteja,anatumia Printer ya HP Laserjet 1320. Machines zake zina windows 7,8 na 10. Badhi 32bits nyingine 64bits. Nimesumbuka sana kuiinstall kwenye Windows 10 64bits, maana ports za USB au DOT4 zilikuwa hazionekani,sikukata...
  20. T

    Najua wengi limewakuta,ila jipongezeni

    Mungu nikupe nini? Majuzi mwenzenu nilikuwa sehemu moja hospitalini. Nilimuona mdada mrembo kishenzi. Uzalendo ulinishinda nikaamua kuimbisha,na mambo yakaenda sawa. Ila kumuuliza kilichomleta kasema amemleta mgonjwa. Jioni hiyo simu zikafanya kazi weeee. Kesho yake narudi kwenye kazi...
Back
Top Bottom