UKWELI WA WAMAREKANI NDIO HUU WASIZUNGUKE MBUYU....BBC NDIO ISHASEMA
Wakumbuke kila nchi inatamaduni zake na mipaka yake ya uhuru.......
Mr Makonda has] also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of...
Kuuliwa watu 100 si mchezo...imekuwa vita ??? Zito ameongezea chumvi hapo...Watu mia hata vyombo vya habari mbali mbali vingeripoti yaani si suala ambalo lingekuwa kimya namna hiyo......Zito wakati mwingine akiwa anatoa taarifa zake aseme zile zenye uhalisia wa jambo husika asiongeze...
Wanaijeria kwanza dunia nzima wanaogopewa, ni wababaishaji, wezi, matapeli, wabeba unga..lazima wakifika sehemu kama tanzania waogopewe.....
Wakae huko huko kwao hatuwataki
Kwanza kiusalama wa nchi Nchi (Serikali) haiwezi kufanya uhalifu kama huo kamwe sababu kwanza ni kuhatarisha usalama wa nchi kimataifa....na hasa ukizingatia Mo ni Public Figure...hapo ilipo habari zitakuwa zishafika hadi kwa Rais wa Marekani..Mtu kama Mo ni mkubwa si tu kwetu hadi kimataifa...
Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa..
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa
Madaraja yanajengwa
Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa
Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa...
Na hao ulowataja sisi vijana hatuwafahamu ni wa enzi hizo hatutaki mazoea, bali tunataka chuo kituonyeshe ya sasa...tusiongelee ya kale....sasa hivi kimemtoa nani akapeperusha bendera ??
hana lugha nzuri kabisa...lugha isiyokuwa na staha..hata kiongozi wako akukere vipi huwezi kumwambia shika adabu yako...hata kama umemzidi umri...kuna lugha ya kutumia
Tanesco napenda kuwapa hongera sana kwa mwaka huu hakika mmejitahidi sana katika suala la ukataji umeme hovyo...Ila sifa hizi nimpe zaidi Rais wetu, maana kama si yeye inaelekea kulikuwa na watendaji wabovu ambao bila Rais kuwa mkali wasingekuwa na nidhamu kama sasa walivyo..
Hongereni...
Hizi ni hisia zangu, kuna chokochoko za kichini chini za kuchafua serikali ya Magufuli....Tundu ashapona sasa wanaanza kutafuta lingine..
Kibiti ilitoka, wakaja wa kumjeruhi Tundu, sasa wanaanza maovu mengine.
Siasa hizi....Nchi za africa sijui zina tatizo gani.
Msikiti sio wa mtumu MUHAMAD bali ni wa Nabii Issa A.W. ambaye anathaminiwa sana kama mtume na Waislam.
Pia huo ugomvi sisi viumbe wa sasa wenyewe tumeukuta. Na historia inaonesha wale ni watoto wa familia moja ndio wanaogombana na vizazi na vizazi vikawa hivyo...Ipo historia ndefu saana ya...
mhhh LAKINI SIJAELEWA...huko katikati ya maji kwenye kina kirefu anakubakaje sasa...? Mnasimama vipi au kulala vipi au kuinama vipi hadi aweze kuingiza na kutoa...hebu ufafanuzi please... Maana nionavyo maji ni mengi, nyie mnaelea.. sasa inakuwaje..
Kuwa na green sio sababu ya kupunguza umasikini wao...NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
Mashamba yapo ndio ila ardhi hizo sehemu kubwaa zimeshikwa na watu ambao sio wakazi wa huko...wamenunua maviwanja, mashamba...Mimi nilitaka shamba huko maeneo fulani baada ya vigwaza ni eneo zurii kijani...
Kwa kuongelea kuhusu IQ ya mtu kuhusu:
UFUPI : Nakataa sababu nikiangalia Wachina na Wakorea basi wao wangekuwa na IQ ndogo sana sana..
SEHEMU ULIYOTOKEA: Hii naweza kuikubali kwani hata maadili unaambiwa KATIKA ETHICS vitu vinavyo kushep wewe uwe kama ulivyo ni kutokana na: Mazingira...
no IV bado haijatulia
iv. Mkazi yeyote wa Tanzania asilazimishwe kulipia bidhaa au huduma yeyote hapa nchini kwa fedha za kigeni.
Ukiitafakari hii No. IV haija tilia mkazo kuwa ni lazima Mkazi alipe kwa TZS bali imesema asilazimishwe.
Ikiwa na maana anaweza kulipia kwa hiyari ikiwa atapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.